Singida wanasema wamejiandaa vyema kuchukua nafasi ya pili nyuma ya Azam Fc kwa lengo la kukomesha hii dominance ya Simba na Yanga kwenye ligi.
Simba sio challenging team tena kwao. Kipengele kipo kwa Yanga, je tunawashushaje? Azam Fc wamewaambia SBS kwamba hicho kipengele wawaachie...