Search results

  1. J

    Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) imekua Ligi ya tano (5) Afrika na ya 39 duniani kwa ubora

    Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya tano (5) kwa ubora barani Afrika na ya 39 duniani kwa mwaka 2022 Kongole TFF kwa usimamizi wa ligi, hii iwe chachu ya kurekebisha kasoro mbalimbali...
  2. J

    Hawa Chelsea wanataka nini? kila mchezaji wao tu ebo! sasa wamehamia kwa Enzo Fernandez

    Chelsea wamerejea katika mazungumzo ya moja kwa moja na Benfica kwa ajili ya Enzo Fernandez. Wanamtaka mchezaji huyo kwa gharama yoyote - Chelsea watakuwa tayari kulipa ada ya €120m. Rais wa Benfica Rui Costa bado hana nia ya kukubali - lakini Chelsea itasisitiza kukamilisha dili hilo sasa...
  3. J

    Ukiangalia uchezaji wa Madrid unavutia sana🔥

    Camavinga ni Tanzanite mzee, jana mtangazaji anakuambia he is remarkable mnjua wenyewe waingereza, dogo anacheza DM,Holding,Attacking alafu anakuja na LB na anauwasha tena!Uwezo wake Lb kule anasogea anaingia kwenye mido anateleza raha sana aisee!Jama alicheza poa sana uwa na imani nae sana
  4. J

    Madrid derby Real Madrid vs Atletico Madrid

    Real Madrid walisonga mbele katika kipindi kingine cha kwanza, wakilengwa nyuma na wapinzani wao wa ndani huku mchezo wa robo fainali ya Copa del Rey ukifika mapumziko. Bao la Alvaro Morata liliifanya Atletico Madrid iongoze na ilihisi kuwa nyuma kwa wenyeji Bernabeu ambao hawakuwa na ladha...
  5. J

    Leicester City wametengeneza pesa nyingi kutokana na ada ya uhamisho misimu michache iliyopita Hii haijumuishi uhamisho wa Wesley Fofana kwenda blues

    Kante ailiuzwa kwa bei nafuu Soko halikuwa limechangiwa wakati huo tu Angeenda kwa urahisi hata 100 pamoja na sasa
  6. J

    Philip Jones ni mchezaji wa namna yake😅

    Huyu ana mganga wake peke ake
  7. J

    SAKATA LA FRANK LAMPARD NA EVERTON

    Frank Lampard aliyetimuliwa Everton, Marcelo Bielsa akizingatiwa kama mbadala wa klabu ya 19 kwenye Premier League. Frank Lampard aliwasili Goodison Park Januari 2022, na ingawa aliisaidia klabu hiyo kuepuka kushuka daraja mwaka jana, anaiacha Everton katika nafasi ya 19 kwenye Premier League...
  8. J

    Real Madrid vs Villarreal, Madrid wakipindua meza kipindi cha pili 3-2

    Real Madrid walitoka kwa mabao mawili nyuma na kuifunga Villarreal 3-2 katika mchezo wa hatua ya 16 bora wa Copa del Rey Alhamisi kutokana na mchezo mzuri wa kipindi cha pili uliofanywa na mchezaji wa akiba Dani Ceballos. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26 alitoa pasi ya bao la kwanza la...
  9. J

    Azam vs Tanzania Prison 3-0

    Game ya Azam Jana ilikuwa Ni mwendelezo wa Azam kuonyesha kuwa Sasa amekuwa ana team kubwa yenye wachezaji wakubwa Ameutawala mpira kila eneo hasa pale katikati Akamiko anapeleka mipira mbele unamuona Kipre akipokea mipira mabeki wa Prison wote wanamfata na wakati huo Dube yupo kwenye Boks...
  10. J

    Azam hawajua bado shida yao kwenye magoli kipa

    Koxha wa magolikipa ndo tatizo japo kuapata kipa sio rahisi
  11. J

    Bale mpira bado unamuhitaji sijui kimemkuta nini kaamua kupumzika mapema hivi

    Sijui amekumbwa na nini ila tunaheshimu maaamuzi yake
  12. J

    Chelsea amelamba Nyasi uko darajani dhidi ya Man city

    Chelesea walikuja kuzembea kidogo tu baada ya zile sub mbili za City wakapoteana
  13. J

    Harry Kane Mshambuliaji wa Spurs afumbue macho

    Hakua serious na hivo vikombe