Search results

  1. J

    Yanga wanasonga mbele Mapinduzi Cup

    Mudathir namkubali sana huyu jamaa Huwa anajituma na ana pasi nzuri sana. Ni mchezaji mzuri sana Tumpe muda kidogo tu
  2. J

    Tusifie uku aisee timu yetu ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

    Hahaaa match experience ni tofauti na uwapo mazoezini...unaeza ona mchiz...zoezini anazungusha fresh....ila mechi bhana oh hoo Nyingine kujiamini tu mzee... Mali inakuja mtu anakua hana uhakika...ajiachiii ...mazoea au hofu ya kuogopa kuharibu mtu anaharibu... Wengine ndio walivyo tu๐Ÿ˜‚...
  3. J

    Mabadiliko ambayo yamefanywa na mtu mmoja mwenye brand kubwa duniani CR7 Cristiano Ronaldo

    Ni wakati sahihi ameondoka na kocha aliliona mapema,alikua ananyima vijana kucheza Kwa Uhuru zaidi
  4. J

    Kombe la dunia Final

    Leo ni mshindi wa tatu wa kombe la Dunia. Kesho ndio fainal ya kombe la Dunia.
  5. J

    Ila waarabu bana

    Mwana mfalme Mohammed bin Salman wa Saudia amempongeza Mfalme Mohamed wa Morocco kwa nchi yake kutinga nusu fainali ya kombe la Dunia, Mohammed amesema mafanikio ya timu ya taifa ya ya Morocco ni fahari na furaha kwa nchi za Kiarabu. Mfalme Mohamed amemshukuru Mwana mfalme wa Saudia kwa simu...
  6. J

    Wakuu unamwona nani akitoboa Qatar

    duh hahahah
  7. J

    Wakuu unamwona nani akitoboa Qatar

    Croatia win
  8. J

    Miss Cratia

    Miss Croatia ambaye amekuwa gumzo kwenye kombe la Dunia Qatar kutokana na mavazi yake kiasi cha kukamatwa na askari na kutolewa uwanjani amefunguka.... "Nilikasirika kwa sababu mimi si Muislamu, na kama sisi huko Ulaya tunaheshimu HIJABU na NIQรƒB, nadhani lazima pia waheshimu njia yetu ya...
  9. J

    Brazil vs South Korea 1half

    Watu wanaweza kuona matokeo hayo wakaona mechi sio nzuri, kwangu mimi mechi ni nzuri sana, japokuwa Korea wameshafungwa goli 4 kwa 0, bado nampa sifa kocha wao kwa kuamua ku-take risk kwa kuamua kucheza offensive game. Hakutaka kuzuia, na alikuwa anafanya high defensive line, na timu...
  10. J

    NETHERLANDS NA ARGENTINA, ROBO FAINALI YENYE KUJIRUDIA.

    Uziii๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
  11. J

    Zlatan Ibrahimovic

    "Nihistoria kubwa kwenye kombe la dunia, Ujerumani wameenda kutetea ushoga Kuliko kutetea taifa Lao" - Zlatan Ibrahimovic.