Search results

  1. K

    Newcastle watonga Fainali ya Carabao Cup

    Newcastle United wana faida ndogo kutoka kwa mechi ya nusu fainali ya Kombe la Carabao mkondo wa kwanza huku bao la Joelinton likiwapa ushindi Southampton. Mbrazil huyo alirekebisha kwa kukosa nafasi rahisi ya mapema alipofika mwishoni mwa krosi ya chini kabisa ya mchezaji wa akiba Alexander...
  2. K

    Man United leo tulizidiwa kwa sehemu na Arsenal wamesatahili Pointi 3 muhimu

    Man Utd inahitaji wachezaji 5 ili tukae sawa. Jana tulikosa ball carrier pale kati na solid DM( Casemiro) Tunahitaji striker kama Osimhen strong, sharp and clinical Solid & Versatile RB ( Dalot anahitaji competition) AWB siyo mbadala wa uhakika Tunahitaji Goalkeeper mpya
  3. K

    Man City vs Spurs 4-2 City anarejea kwenye mbio za ubingwa

    Mabao matatu ndani ya dakika 12 ambayo ya ikilinganishwa na mabao matatu kati ya matano ya msimu uliopita dhidi ya Aston Villa kushinda ligi - na la nne dakika za lala salama kwa Tottenham Hotspur ambao matumaini yao ya kufuzu Ligi ya Mabingwa yanafifia haraka. Ingawa Guardiola alipigwa na...
  4. K

    Manchester United mbio za ubingwa gari imepata pancha njiani baada yakutoa sare na Crystal Palace wakiwa ugenini

    Tumepoteza muelekeo game ya palace kushnda na aseno ni bonus Jana tumecheza vibaya Sana kwenye timu wachezaj 4 mpaka 5 wakiwa chin ya kiwango Basi timu nzma itabolonga Antony ovyo Bissaka ukitoa slide ya misho kadilie Sana na mpira unaweza sema sasa anajiamin lakin anao nao Sana Bruno ukito...
  5. K

    Mechi za leo ligi kuu tunazizungumziaje?

    Yanga tunalipa kisasi azam apambane na hali yake
  6. K

    Usajili wa Simba na Yanga dirisha dogo

    Tumeelamba madume yote
  7. K

    Azam wamefukuzwa Mapinduzi Cup na SBS

    Kazada kafanya unyama sana
  8. K

    Yanga wanasonga mbele Mapinduzi Cup

    wachezaji tuwape muda
  9. K

    Bomu limepiga tik tok tik tok mara kabum Jang'ombe (Mudathir Yahya)

    Sijui kwa nini watu wanamchukulia poa Mauya, ila kuna muda naelewa Uhuru wa maoni. Mauya alikuwa kiungo bora wa Ligi yetu Msimu mmoja kabla ya kutua Yanga, lakini Msimu wa kwanza alipotua Yanga akawa mchezaji muhimu sana leo wakina Aucho wametusahaulisha kabisa umuhimu wa Mauya.
  10. K

    Huko sunderland anakiwasha NOMA

    Huyu dogo anajua mpira hakustahili kuwa kwenye loan at first,wampe nafasi first eleven acheze
  11. K

    Tusifie uku aisee timu yetu 😄😄

    Sasa uyu bwege...clear chances.....kama vs city...nafas zils benzema old version atakosa mbili moja ataweka.... Mchiz nunu cjui nunez anaweza ila...cjui gundu gan limemkuta...nakumbuka ucl vs liverpool ye yupo benfica alifunga magoli magumu mno..
  12. K

    Nunez

    Hapa wamepigwa:ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO:
  13. K

    Wakat wa mungu ndio wakat sahiii Frank

    Yaan huyu mbwa simpendi ila kila nikikumbuka ubora wake na timu inahitaji mtu kama yeye basi naishiwa nguvu😂