Search results

  1. Z

    Tottenham dhidi ya Arsenal, Lloris howler akiwasaidia Gunners kupata ushindi

    Arsenal wamesonga mbele kwa pointi nane kileleni mwa Premier League kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya wapinzani wao Tottenham Jumapili. The Gunners tayari walikuwa kileleni mwa msimamo lakini walijua kwamba matokeo chanya kwenye Uwanja wa Tottenham Hotspur yangeweza kuwa muhimu sana kuwaongoza baada...
  2. Z

    Juventus kuchapwa bao 5 na Napoli nini kili jiri?

    Napoli bwana! Mashabiki wa Napoli watakumbuka mchezo huu kwa muda mrefu walipoipita Juventus ya wachezaji 5 ambao walikuwa wamefunga mabao saba pekee msimu mzima. Mabao mawili kutoka kwa Osimhen huku Khvicha Kvaratskhelia, Rrahmani na Elmas wakitangulia kufunga huku vijana wa Luciano...
  3. Z

    De gea atakubali kushusha Mshahara

    Kumshusha maan anaeza rudi namba 2 na ni ngumu sana kumuweka De gea namb 2
  4. Z

    Madrid bado inamdai Ancelloti makombe

    Ancelloti awape watoto nafasi
  5. Z

    Vipi leo tunawapa mtazamo gani? wote wametoka kusuluhusu mechi zao za mwisho

    Game nyepesi sana kwa City ila ball linadunda Chelsea wanaweza fanya lolote
  6. Z

    Wadau wa kijiweni nina swali kidogo

    Wakati wa mechi za mwisho za laliga before world cup break lewandowsk alioneshwa red card, Ila nashangaa mechi ya juzi amecheza wakati hajaitumikia adhabu yake, hii kisheria imekaaje ?
  7. Z

    Huko sunderland anakiwasha NOMA

    Kwa mujibu WA kochaaaa
  8. Z

    Bomu limepiga tik tok tik tok mara kabum Jang'ombe (Mudathir Yahya)

    Mauya ni type ya Himid Mao. Watu uwa wanamchukulia poa jamaa akiwa Taifa stars ila mimi uwa namuelewa sana. Mauya anajua boli sema ni vile Yanga tunao viungi wengi na wazuri sana hvo tunamchukulia poa jamaa.
  9. Z

    Bomu limepiga tik tok tik tok mara kabum Jang'ombe (Mudathir Yahya)

    Muda huu ambao Feisal hayupo kikosini tunahitaji mchezaji ambaye anaingia kwenye kikosi tusiwe na upungufu mkubwa, kwa local players na quality ya Mudathir ni sawa tu 🀝
  10. Z

    Huko sunderland anakiwasha NOMA

    Ten Hag kaongea kuhusu dogo mana walisema arudishwe washabiki Yani January lakin Ndo sidhan kama aramrudishaa Ten Hag anataka akomae Zaid lakin Saiv yupo vizuri
  11. Z

    Tusifie uku aisee timu yetu πŸ˜„πŸ˜„

    Liverpool walipigwa na kitu kizito kichwani. Jamaaa anakosa goli za wazi hatari kabisa
  12. Z

    Nusu fainal inaanza leo

  13. Z

    Mkeka wa leo

    odds 10+
  14. Z

    Mjadala kwamba Morocco sio Afrika ni mjadala wa kibaguzi

    Mjadala kwamba Morocco sio Afrika ni mjadala wa kibaguzi. Aficanism is not a race it's Ethinicity. Ndio maana Kanye West ni mweusi kama Muha wa Kazuramimba lakini hataki kuitwa Mwafrika. Anaajiita black America. Malabuku 🀣. Being an African means where u belong to, not your race. Uwe mweusi...
  15. Z

    Richarlison kuhusu Endrick

    Richarlison kuhusu Real Madrid, Chelsea na PSG kumtaka Endrick: "Niamini, naweza kusema kwamba Endrick ni wa kuvutia, ana nguvu nyingi na kipaji". πŸ‘€πŸ‡§πŸ‡· #uhamisho "Anamkumbusha Adriano. Nilimtazama akicheza na Brasil na Palmeiras; Nadhani baada ya miaka miwili, atawasili Ulaya”.
  16. Z

    DRAW YA UEFA NA EUROPE

    hujui uwahurumie Barca au United :ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO:
  17. Z

    Ronaldo anazeeeka vibaya sasa

    Mtuachie striker wetu bana