Search results

  1. Imma MK

    Mchezaji Gani Wa YANGA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza SIMBA? Na Mchezaji Gani Wa SIMBA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza YANGA?

    The Fact is👇 Diara Bacca Khalid Max Pacome Dube Yako Air Manula Tshabalala Che Malone Mavambo Ahoua Ateba SGR
  2. Imma MK

    Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?

    Unaambiwa budget ya chini kabisa ya ujenzi wa kiwanja ni sio chini ya one billion up to two billion Tukija kwenye suala la mapato na matumizi mfano ya Yanga mpaka msimu umeisha walitumia zaiidi ya 10B na ku gain chini ya 10B hiyo ni kumaanisha kuwa Team zetu bado kwanza zina struggle kwenye...
  3. Imma MK

    MWANANCHI 🔰 Panga Kikosi Chako Cha Leo Vital'O vs YANGA SC

    Hakikisha Chama na Sureboy wanaanza leo
  4. Imma MK

    Tusanue Hapa Utapeli Mpya Unaoujua Tujilinde Nao Mapemaaa

    Hawa wa kusema ana kuunganisha na malaya mkoa wowote uliopo nao ni utapeli,Alafu kuna hii Aviator prediction nayo ni utapeli tu and most social businesses ni utapeli tu
  5. Imma MK

    Hii Kauli Ya AHMED ALLY Mmeipokeaje Wana SIMBA? Mnakubaliana Nae?

    Naomba ruhusa nicheke mkuu🤭🤭
  6. Imma MK

    Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?

    Wamesha sema Timu bado inaji tafuta kwaiyo tuwaache huenda msimu ujao wakawa wamesha jipata😃
  7. Imma MK

    Panga Kikosi Cha Kumfunga Mtani Wako Kwa Mkapa Mchezo Wa Ngao Ya Jamii

    Diara Yao,Job,Bacca,Kibabage Aucho Duke Max- Ki Aziz- Pacome Dube😁
  8. Imma MK

    Unamtania Kwa Jina Gani Rafiki Yako Ambaye Hashabikii Timu Unayoishabikia?

    Huwa namwita Mangungu au Jaribu Tena (instead of Try Again)😂
  9. Imma MK

    Mkeka Wa Leo 05/07/2024 Mechi 7 Pekee

    Wekeni code ya mkeka basi
  10. Imma MK

    Kijiwe cha watoto wa Jangwani

    HAPO UKITOA Pacome tu wengine wote wana hizo sifa
  11. Imma MK

    Azam vs Yanga Kupigwa Zanzibar TFF Mmezingua

    Mimi naona tu wamezingua kwanini wa hamishe, michezo mingine ilipigwa apo sijui wameona nini TFF bana hawanaga misimamo mi sijapenda 🥲
  12. Imma MK

    KAGERA SUGAR vs SIMBA SC Matokeo Yatakuaje?

    Simba will win the game