Baada Ya Taarifa Ya Hukumu Na Yale Ambayo Yanaendelea Wana YANGA Msimamo Wenu Ukoje?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.

Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi la Wazee wachache waliowahi kuwa Wazee wa Yanga kipindi cha nyuma, kushitaki Mahakamani likidai uwepo wa Viongozi wa sasa wa Yanga (Injinia Hersi na wenzake) ni batili na haujafuata Katiba ya Club hiyo.

Kutokana na Wazee hao kushinda kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inamaana kuwa Rais wa Yanga Injinia Hersi na Viongozi wenzake wanatakiwa kuachia ngazi na kukabidhi Ofisi kuanzia sasa.

Injinia Hersi alianza kuiongoza Yanga kama Rais miaka miwili iliyopita baada ya kushinda nafasi hiyo akiwa ni Mgombea pekee July 2022 na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka kuanza kwa mfumo mpya wa mabadiliko ambapo alitangazwa kuwa atakuwa madarakani kwa miaka minne ( hadi 2026 ) kwa mujibu wa Katiba ya Club hiyo.
 
  • Like
Reactions: Andrea and shuby

samora

Mgeni
Jun 20, 2024
2
1
5
KIUKWELI KATIBA IKO WAZI WAO WAFUATE MUONGOZO WA KATIBA MAANA KATIBA IPO KWAAJI YA CHAMA NA MASHABIKI HUWEZI PINGA KATIBA
BY SAMORA DEUS
KUTOKA KILIMANJARO
 
  • Like
Reactions: Andrea

M.dawite

Mgeni
Jul 12, 2024
5
3
5
Nadhani hawa wazee wanatumika na viongozi wa makolo na huu mtego hatutaingia kamwe wanayanga ni muda wa kushikamana na kuilinda brand mti wenye matunda hupigwa mawe #daima mbele nyuma mwiko🌿
 
  • Like
Reactions: Andrea

Nashy

Mgeni
Jul 15, 2024
12
3
5
Bado tunataman huduma yake cos anajua na anafanya kazi yake kwa uweredi zaidi ,,,nilini watanzania tuta tambua vitu vilivyo bora tuache mamuzi ya kushawishiwa mana yataja kutusumbua badae
 
  • Like
Reactions: Andrea

Andrea

Mpiga Chabo
Jul 17, 2024
1
0
0
Mimi Sio Yanga
Ila nadhani awa wazee kuna mahali wanakwama
Mtu kasaidia Timu pakubwa afu wanampeleka mahakamani.
Afu ifike wakati Timu ziwe za vijana Sio wazee tena kama chama cha mapinduzi buana.
 
Nashy

Mgeni
Jul 15, 2024
12
3
5
Nadhani hawa wazee wanatumika na viongozi wa makolo na huu mtego hatutaingia kamwe wanayanga ni muda wa kushikamana na kuilinda brand mti wenye matunda hupigwa mawe #daima mbele nyuma mwiko🌿
Hakika maana vita ni hesabu na mipango wanajaribu kutibua sehemu ya kati ili mtungi uchafuke wana jangwan daima tunashika machujiko wakichafua tuna chuja then waendelea piga hatua mbele
 
  • Like
Reactions: Andrea

dittopille

Mgeni
Jul 17, 2024
3
3
5
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.

Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi la Wazee wachache waliowahi kuwa Wazee wa Yanga kipindi cha nyuma, kushitaki Mahakamani likidai uwepo wa Viongozi wa sasa wa Yanga (Injinia Hersi na wenzake) ni batili na haujafuata Katiba ya Club hiyo.

Kutokana na Wazee hao kushinda kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inamaana kuwa Rais wa Yanga Injinia Hersi na Viongozi wenzake wanatakiwa kuachia ngazi na kukabidhi Ofisi kuanzia sasa.

Injinia Hersi alianza kuiongoza Yanga kama Rais miaka miwili iliyopita baada ya kushinda nafasi hiyo akiwa ni Mgombea pekee July 2022 na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka kuanza kwa mfumo mpya wa mabadiliko ambapo alitangazwa kuwa atakuwa madarakani kwa miaka minne ( hadi 2026 ) kwa mujibu wa Katiba ya Club hiyo.
Mi natumai mahakama ya kisutu aiwezi kuingilia maswal a ya mpira iyoo ni kaz ya TFF
 
  • Like
Reactions: Andrea

Amiri Msofe

Mgeni
Jul 17, 2024
1
1
5
Bado hakijawaka huwa ninachojua mimi migogoro ya Simba na yanga ni kama mbio za vijiti huwa ni kupokezana sasa ukiona Simba kunapoa yanga lazima kuwake mimi ni Simba na sioni chaajabu kusikia kama kuna shida inakuja kwa mtani nikisikia hivyo nafrahia mana sasa najua Simba mema yanakuja
 
  • Like
Reactions: Andrea

dittopille

Mgeni
Jul 17, 2024
3
3
5
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.

Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi la Wazee wachache waliowahi kuwa Wazee wa Yanga kipindi cha nyuma, kushitaki Mahakamani likidai uwepo wa Viongozi wa sasa wa Yanga (Injinia Hersi na wenzake) ni batili na haujafuata Katiba ya Club hiyo.

Kutokana na Wazee hao kushinda kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inamaana kuwa Rais wa Yanga Injinia Hersi na Viongozi wenzake wanatakiwa kuachia ngazi na kukabidhi Ofisi kuanzia sasa.

Injinia Hersi alianza kuiongoza Yanga kama Rais miaka miwili iliyopita baada ya kushinda nafasi hiyo akiwa ni Mgombea pekee July 2022 na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka kuanza kwa mfumo mpya wa mabadiliko ambapo alitangazwa kuwa atakuwa madarakani kwa miaka minne ( hadi 2026 ) kwa mujibu wa Katiba ya Club hiyo.
Me natumai mahakama ya kisutu aiwezi kuingilia maswala ya mpira ayo ni mambo ya tff
 
  • Like
Reactions: Andrea
Jul 17, 2024
1
1
5
The issue is clear kuwa sindano inapotakiwa kukutibu inauma, kama kweli wamekiuka katiba hawana budi kuachia ngazi Kisha wafanye kile katiba inataka, uongozi wa yanga ukiacha na ujenzi wa timu imara na yenye ubora kiwanjani ila Kuna mambo yaweza kuwa yamefichwa na matokeo hayo imagine migogoro ya mikataba na maslahi yaliyopelekea kuwa na vifungo mara kadhaa vya shirikisho la soka so Kwa hili pia sishangai. Lisemwalo lipo kama halipo.......
 
  • Like
Reactions: Andrea