Search results

  1. Balyx_

    AZIZ KI NI SPECIAL

    Kwa jana alivyokuwa anacheza inaonesha kabisa Yanga hawana haja na Fei Toto. Wamuache tu acheze huko Azam, Aziz anatosha
  2. Balyx_

    AZAM KWENYE GOAL KEEPING POSITION IMEKUA UGONJWA WA KUDUMU.

    Kuna namna inabidi Azam wafanye scouting ya maana ya Golie otherwise huu ugonjwa utazidi kumtesa sana Ali Ahmada sio level za team kama Azam Fc. Over
  3. Balyx_

    Fei kasharudi kambini.!

    Amereport kambi gani?
  4. Balyx_

    Ni Rasmi Henock Inonga Atasalia Simba!

    Ilibidi aindoke
  5. Balyx_

    FEISAL AMEWATUMA AZAM KUWADHUGHULIKIA YANGA

    Leo itapigwa mbungi moja nzito sana, tactically, emotionally na physically Azam are the favorites kwenye hii game. Siwaoni Yanga wakipona hii mbungi kwakweli
  6. Balyx_

    PESA KWANZA

    Feisal Salum amechagua pesa kuliko Sifa za kijinga. Mtu mpaka anadaiwa hadi kodi ya nyumba kweli??? Feisal amechagua njia sahihi kabisa
  7. Balyx_

    FEISAL AONDOKE PALE YANGA

    Naaaam
  8. Balyx_

    FEISAL AONDOKE PALE YANGA

    Haiwezekani?๐Ÿ˜…
  9. Balyx_

    FEISAL AONDOKE PALE YANGA

    Ni muda sasa Feisal aweze kutambua uwezo na thamani yake, Dunia nzima inataka Fei Toto ajiunge na Azam Fc๐Ÿ™๐Ÿ˜Ž
  10. Balyx_

    Hizi tetesi tuu..!

    Yanga wamchukue Luiz ili iwe rahisi Azam kumchukua Fei
  11. Balyx_

    SIMBA ANAMUOMBEA YANGA USHINDI

    Kwa Mara ya kwanza SIMBA atakuwa anamuombea Yanga kwenye #DarDerby kitu ambacho kitafanya Azam apate nguvu za kupiga mapacha wote ndani ya game moja
  12. Balyx_

    DARWIN NUNEZ MLIPIGWA

    Kabisaaaa๐Ÿ˜‚
  13. Balyx_

    DARWIN NUNEZ MLIPIGWA

    Huu ndo ukweli๐Ÿ˜‚ Huu ndo ukweli
  14. Balyx_

    Wakuu nani kala mkeka jana??

    Make game ya Liverpool na Man City wengi tumemuua Man City kwa mihemko sana
  15. Balyx_

    Unaambiwa sasa uko Argentina

    Hao ndo waamerika
  16. Balyx_

    Picha ya Messi yaongoza Dunia kwa Like

    Messi ni kama maji, usipoyaoga utayanywa
  17. Balyx_

    Dybala Anatupa Funzo Kubwa Sana..!

    Dybala huwezi kuona hata siku moja amemind, very professional
  18. Balyx_

    SINGIDA BIG STARS WANASEMA WAMEJIANDAA

    Singida wanasema wamejiandaa vyema kuchukua nafasi ya pili nyuma ya Azam Fc kwa lengo la kukomesha hii dominance ya Simba na Yanga kwenye ligi. Simba sio challenging team tena kwao. Kipengele kipo kwa Yanga, je tunawashushaje? Azam Fc wamewaambia SBS kwamba hicho kipengele wawaachie...