Search results

  1. S

    Ten Hag abaki Man utd

    Amn maajabu yoyote yale kama alishidwa msimu ulio pita japo alikuwa Na wachezaji wazuri sasa na huuu vipi ataweza sas Ni kwamba level ya man u bora watafute kocha mwingine two
  2. S

    Usajili Simba Wanaanza Na Huyu Hapa

    Kwaiyo wamemtumia alafu wameona afaiii sasa si bora wangemuacha yani na kumtamburisha kote vile alafu unaishia vibay daaa
  3. S

    Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025?

    Shida je awo vijana wataweza kukabiliana na timu kubwa Maana so tatizo kuwachukuwa shida inahitajika wawe na Expilance kubwa Sana maana mashidano kama shilikisho Yanaitaji watu wazoefu kaka so kama awo watoto
  4. S

    Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025?

    Lakini uwa tunasema wanasimba sisi ni kipindi Champito uongozi ndo tunaferi pale kabisaa Ni bora watatuwe mapema Sana
  5. S

  6. S

    Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025?

    Kwa Mimi navyo hona mo yupo sawa kukataaa Mara Mia aje mchezaji mzuri kuliko yeye
  7. S

    Manchester United wapata matumaini ya kumsajili Frenkie de Jong kutoka Barcelona"

    Hamna awawezi aho kabisa maana dejong awezi ondoka Barcelona ata iweje