Search results

  1. Muwekezaji

    Jua wakati mzuri wa kuingia sokoni

    Ukiingia Uchina kuna watu wengi wanaheshimika sana lakini kuna watu watatu wanaheshimika sana kwenye taifa hilo lenye watu zaidi ya 1.4 bln Watu hao ni Sun Tzu, Mao Tse Dong (tamka 'Zedong') na Deng Xiapong. Hawa ni watu ambao wamechangia sana ukubwa na uimra wa taifa hilo kutoka barani Asia...
  2. Muwekezaji

    Shindano la uwekezaji la DSE kwa wanafunzi

    Application kwa ajili ya challenge hii inapatika hapa: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.student.investment
  3. Muwekezaji

    Ulaghai wa Sarafu za Kidijitali na Jinsi ya Kuepuka Sehemu ya Kwanza

    1. Ulaghai wa Utoaji Awali wa Sarafu (Initial Coin Offerings) Utoaji Awali wa Sarafu (ICOs) ni njia ambayo kampuni nyingi za blockchain hutumia ili kuchanga fedha. Ni mbinu iliyoundwa kuakisi Utoaji wa Awali wa Umma (IPO) kwa mujibu wa soko la hisa. Tofauti na IPOs, ICOs haina udhibiti na...
  4. Muwekezaji

    Jinsi ya Kununua Bitcoin Tanzania na Jinsi ya Kuuza Bitcoin Tanzania

    Ili kuweza kuuza au kununua bitcoin Tanzania, unatakiwa kuchagua soko (bitcoin exchange) utakalotumia. Yafuatayo ni masoko makuu na yanayoaminika ya kununua bitcoin Tanzania. Paxful Paxful ni moja ya kampuni maarufu duaniani na inayoaminika kwa kuuza na kununua bitcoin. Ukitumia kampuni hii...
  5. Muwekezaji

    Fahamu kuhusu Bitcoin.

    Bitcoin ni fedha ya kidigitali ambayo huondoa uhitaji wa waamuzi na wasimamizi wa fedha kama benki na serikali na badala yake kutumia mtandao wa kompyuta zenye uwezo wa kuthibisha manunuzi moja kwa moja kati ya watumiaji. Kwa kawaida fedha husimamiwa na Benki kuu pamoja na serikali lakini...
  6. Muwekezaji

    Wajuvi wa cryptocurrency msaada wenu tafadhali

    Kwa bei ya sasa hivi ETH 1 ni sawa na 3798.09 USD. endapo ukanunua ETH za 50$ kwa exchange rate ya muda huu utapata 0.013 ETH. Sasa cha kwanza wallet yako haitakuja kusoma negative. Ila ikitokea Eth imeshuka thamani ili uweze kujua una dollar ngapi muda huo ni unachukua thamani ya 1 ETH in...
  7. Muwekezaji

    Muenendo wa Hisa za Bank ya CRDB

    Mnamo 15 Dis 2021 Benki ya CRDB PLC ilisaini Mkataba wa Makubaliano (MOU) na washirika weke kibiashara NorFund kutoka Norway na IFU kutoka Denmark kufungua kampuni tanzu katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) katika hafla iliyofanyika katika Hoteli Fleuve De Congo, Jijini...
  8. Muwekezaji

    Orodha ya Makampuni gani yanayouza hisa Tanzania

    Habari ndg unaweza anza kwa kusoma thread hii na pia ukauliza swali utakapokuwa umekwama https://nipo.kijiweni.co.tz/threads/zijue-hisa-hatifungani-na-vipande.14/
  9. Muwekezaji

    AINA ZA UWEKEZAJI KATIKA HISA

    Kuna wafugaji wanapenda sana kununua ndama kule mnadani (minada mingi ya vijijini huwa zinauzwa ng'ombe, mbuzi na kondoo) kwaajili ya kuwakuza na kuja kuwaletea faida hapo baadae lakini kuna wale wafugaji ambao hupenda kununua ng'ombe ambao tayari ni wakubwa lakini mara nyingi huwa ni kwaajili...