Anafaa nahisi atakuwa amejifunza ukienda kwenye timu kubwa inatakiwa uchezej maana alienda yanga akachemsha so Kwa wakati huu akienda Simba Wenda akaonyesha kitu alichonacho
VAR Hain maana Kwa saa hv maana hata miundombinu ya viwanja hairidhishi kuwa na VAR kikubwa wangeborasha viwanja kwanza japo wanasema mtu anaesaidia huwezi kumpangia kwahyo tuishi nayo TU kiroho mbaya ππ
Hahaha mangungu bhana na yeye hatumtaki aondeke tu na siku zote hawawezi kubishan na Mo kwasababu hata ile transformation (mabadiliko) Bado hayaja kamilika ndo maana wanaona Mo kama anajichulia maamuzi