Search results

  1. S

    Kindege (Aviator) Kilivyosepa Na Milioni 7 Ya Mtaji Najihisi Kufa

    Naomba usijaribu hata kidogo kutamani kufa broo kukosea kupo ila hakuna maisha matamu kama kuishi, mungu kakupa akili fanya uamke pambana, ungekua jirani ningekupa ng'ombe wa kukupa ubize kidogo, ila pole sana mzee baba
  2. S

    Huyu Ndie Kocha Fadlu Davids Anayetajwa Kuwa Kocha Mkuu SIMBA SC

    Meschi 10 za mwanzo zitaamia yeye mzuri ama mbaya bongo hii!
  3. S

    Usajili Wa Chama Kwenda Yanga -Yanga Hamueleweki, Sijui Mna Shida Gani!

    Siku zote ki2 kikiwa kwa mwenzio kibaya, ki2 hichohicho kikija kwako utamu kolea, alipokua Simba walisema hawezi kukimbia mara anapooza sana mipira ila alivoenda yanga kesho mbali watamfananisha na mnyama chita
  4. S

    Mkeka Wa Leo Jumatatu 01/07/2024 Anza Mwezi Kibingwa

    Na matokeo bhas jamaani kupeana Imani, kuna wa2 hawananimani wamechoka kupoteza ela zao, samahani lkn mtazamo2
  5. S

    Sema kuna namna flani sahiv matapeli wamepungua eenh? au wamevumbua njia mpya??

    Nina 💯% hawatakuja waishe iiila wanazidi kuboresha namna ya kututapeli Teena wanatapeli kiheshima sana sikuizi
  6. S

    Hii Kauli Ya Mo DEWJI Anamaanisha Nini?

    Kama ni kweli na anywe soda kwa jina langu nakuja kulipa, 👏👏👏👏🙏
  7. S

    Mkeka Wa Leo Jumamosi 22/06/2024 Wikiendi Ya Kibingwa

    Natamani nishinde hata 5000 lkn sijawahi kubahatika
  8. S

    Tetesi Zote Za USAJILI Hizi Hapa

    Wacha wapishane2
  9. S

    Thank You Iendelee Kwa Nani SIMBA SC ?

    Wale watoto wanatolewa kwenye timu zao na wakiwa tegemezi wanaletwa huku msimu mzima wanacheza mechi Moja bora2 waachiwe huru waende wakatimize malengo na vipaji vyao mahala pengine
  10. S

    Kauli Ya Mwigulu Wakati wa Uwasilishaji Wa Bajeti Mmeipikeaje Wana KIJIWENI?

    Kwahiyo uwezo wake wa kufikiria umekomea hapo2? Daaaaah!!! Hiii nchi nongwa sana
  11. S

    Okrah Ndio Basi Tena Yanga

    Mwache aende2 akatafute malisho mahala pengine