Search results

  1. J

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    Hapa kuna mtu wa kuitwa HAALAND huyu jamaa sjui ni jini au n binadamu wa kawaida anyway lkn namuona VINI JR akichukua vile maana mpinzani wake wa karbu BELLINGHAM kaenda injury
  2. J

    FT : Tanzania 0 Ethiopia 0 | Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO 😅

    Kifupi hatuna kocha hapo , bora ajiuzulu tu Poor perfomance kwa sku hii ya leo, tukiendelea ivi bhas wageni watautumia vzuri ule ukarimu wetu "Karibu mgeni, Jisikie upo nyumbani...."
  3. J

    WanaKIJIWENI Kwa Kauli Hii Mna Lipi La Kumshauri ISRAH MWENDA Kama Watu Wa Boli?

    Sjui tumlaumu yy, sjui tuilaumu management yake, sjui tuilaumu SINGIDA B.S Lkn kwa kauli ya jana ya Singida Big stars kama n kweli bhas kijana hana management yny nia nzur na yy.... kwa vile nlvosoma ile taarifa ya Singida B.S nahc lilikuwa limebaki suala la Management yake na Singida B.S na...
  4. J

    Mchezaji Gani Wa YANGA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza SIMBA? Na Mchezaji Gani Wa SIMBA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza YANGA?

    Spider PinPin Camara Yao kwasi Mo hussein Bacca Ibrah Che Malone Fondoh Khalid Aucho Max Nzegeli Maestro Debrah Fernandez Mavambo Lionel Ateba Prince Dube Joshua SGR Mutale Subs Aziz Ki, Diarra, Kijili, Ahoua, Boka, Job, Okejeph Leta kikosi chako ukishinda nakurudshia pesa za usajili
  5. J

    Azam FC Yatupwa Nje Na APR Ligi Ya Mabingwa Afrika: Unadhani Kipi Haswa KINAWASUMBUA Matajiri Wa CHAMAZI?

    Azam kuna wachezaj wamewasajili cjui kwann wameshndwa kuwaingiza ktk mfumo🤔🤔 Anyway Azam bado wanatafta udhoefu lkn cyo muda wao huu....
  6. J

    Tusanue Hapa Utapeli Mpya Unaoujua Tujilinde Nao Mapemaaa

    Mwanangu nmekuchek kweny grp letu la whatsapp... Kama hutojali naomba unisaidie ata 2000 nna shida hapa bi mkubwa anadai hana chakula
  7. J

    MASTAA WALIOSEPA WAKARUDI BONGO…SIMBA NA YANGA USIPIME

    Pappy Tshishimbi picha ake ilikuwa inaonekana tu kwny lineup af yy hayupo ata benchi Nahic alikuja kimkakati wa kupamba lineup😎
  8. J

    Jezi Mpya Za Klabu Ya SIMBA 2024/2025 Ipi Imekuvutia?

    SANDA😎😎😎 Labda nikiuvaa ndo utapendeza ila sandaland bhana s bora aandike Sandaland kulko SANDA
  9. J

    Simba wakimpa Thank you CHAMA ndo nitaamini wako Serious na Mabadiliko

    Si sahihi Chama na Saido kuwaacha pamoja..... Kama SAIDO kaondoka bhas Chama abaki, usajili n kamari kuna kuleta mchezaj mzur na akafel mfano mzur ata nje ya bongo n watu kama Coutinho, Hazard hawa watu walkuwa balaa lkn walipohama t walifeli CHAMA kuondoka haitakuwa sahihi na wakimuacha...