Search results

  1. K

    Chelsea ilifunga mabao mawili katika mchezo kwa mara ya kwanza 2023 na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa

    Shabiki wa kweli wa soka anajua tulikuwa wabovu sana hatukuwa watulivu kwenye mpira hawezi hata kuwa na pasi 10 za moja kwa moja bado sijaona utambulisho wowote au mpango wa mchezo tu mfinyanzi akipakia safu ya kiungo wakati unaweza kuleta Mudryk kusababisha uharibifu kwenye winga huyo. na pengine
  2. K

    Tumeshinda lakini hatuna furaha papatupapatu

    Huku mashabiki tumebana kend.... Hongera kwa ushind lakn tutaliaibisha taifa huko mbele kama viungo wa timu hawawezi kuiunganisha timu ipasavyo kulingana na majukumu yao inatia huzuni
  3. K

    Nyota wa Real Madrid alishtukia kiwango chake dhidi ya Real Betis

    Nyota wa Real Madrid alishtukia kiwango chake dhidi ya Real Betis Ukweli wa mambo ni kwamba Benzema hajaangalia ubora wake katika msimu huu wote. Ndio amefunga mabao mara kwa mara na alikuwa na utendaji mzuri kama ule dhidi ya Liverpool. Lakini kwa ujumla, kampeni hii haijawa nzuri kama ile...
  4. K

    Newcastle ilitabiri kikosi dhidi ya Man City Mchezo utakaopigwa leo Etihad

    Newcastle United haitarahisishwa kurejea uwanjani taratibu baada ya kushindwa na Manchester United kwenye fainali ya Kombe la Carabao Jumapili watakapomenyana na Manchester City uwanjani Etihad Jumamosi. Ni mchezo mkubwa katika msimu wao ikizingatiwa kazi ya kumaliza katika nafasi nne za juu...
  5. K

    Nipe Mtazamo Wako Kuhusu Mechi Ya Leo

    De Gea, Bissaka,Shaw, Martinez,Varane, Casemiro. Hapo pakiwa hivyo tu nitakuwa na Amani, huko mbele watajua wenyewe
  6. K

    Mzize anajua na kwa Bongo hii atafunga sana kama akiacha utoto na makosa madogo madogo

    Mzize anajua sana kwa Bongo hii atafunga sana kama akiacha utoto na makosa madogo madogo First half Ila leo team inaonyesha gape kubwa sana ya viwango kati ya first 11 ambao ni regular na hawa wanaotokea bench Huyu Bryson duuuu anafanya makosa mengi sana haonekani imara kwa leo Mauya nae...
  7. K

    Us Monastir walichokifanya wameamua kumuachia Yanga Mpira au cheze wao wamejisemea kuwa tunataka point 3 muhimu nyumbani

    Monastir yule striker wao wa kati ni full package kwa mfumo wa mshambuliaji moja, ana uwezo wa kupokea na kukaa na mpira. TP Mazembe na Monastir nawaona robo final
  8. K

    Ten Hag ametupa matokeo ambayo tuliyakatia tamaa

    well done boys Noucamp here we come sema united kuna kitu naona hakipo sawaa buildup zetu zipo slow sana kias kwamba mpinzani anakusomaa utafanya nn next a litlle changes kweny hilo na ile agresiveness once tunapopoyeza mpiraa we will be phenomenon💪💪💪
  9. K

    Arsenal tokea mzunguko wa Pili uanze wamekuwa na mpira mzuri Ila matokeo mabaya

    Mpira umechezwa muda mwingi golini mwa Bentrfod....sasa huyo jamaa nashangaa sijui hiyo kasi aalikuwa anaitumia wapi maana mipira mingi anapigiwa ya juu jamaa wanaruka nae
  10. K

    Simba haikuwa na shida na Kocha shida ya Simba ilikuwa na kiungo mkabaji

    Zimbwe, kapombe, manula, wamepata uzoefu kupitia competition za caf cl lkn boko miaka yote hiyo yy uzoefu kwake sio jambo la msingi. Unakosa nafasi clear kwny nyakati muhimu km hizi kweli upo seriously?
  11. K

    Best player in the world, The Greatest of All Time. 🐐

    Cristiano Ronaldo baada ya kuweka marekodi na kuchukua kila kitu Ulaya, ameamua kwenda kupumzika Uarabuni na anaendelea kuweka rekodi siku hadi siku! Best player in the world, The Greatest of All Time. 🐐
  12. K

    Uchambuzi wangu wa Real Madrid

    Nilisema mwanzo wa Msimu kuwa kutegemea mshambuliji mmoja itatukosti nikawapa Barca. Ubingwa ndio hayo tuangalia Club Champion iliobaki tukubali kujenga hiki kizazi Cha kina Rodrygo na Vini pia na Endrick anakuja.
  13. K

    Yanga vs Namungo ilikuwa ni routine win kwa Yanga

    Good Job wachezaji wanapambana nasi tunaona kocha anaweka mipango mizuri nasi tunaona viva yanga viva VIVAAAAA fukuza morrishidaso
  14. K

    Game ya Simba na Singida ilikuwa nzuri yenye mvuto na ushindani

    Sawa lakini kwenye safu ya ulinzi kuna makosa ambayo yanatakiwa yafanyiwe kazi na pia ktk finishing na maamuz ya mchezaji mmoja mmoja bado kuna tatizo,
  15. K

    Simba dhidi ya Costal Union Michuano ya FA

    Mimi nilishuhudia Simba ikitawala mpira Sana kipindi Cha pili japo kiungo Cha Coastal union kilikamata Sana mpira Napenda Aina ya Saido na Chama wanavyofanya wakiwa pamoja wanafanya mpira kile wao wanakitaka Pia wapinzani walishindwa kuwazuia mabeki wa pembeni ndiyo madhara makubwa yalikuwa...
  16. K

    Philip Jones ni mchezaji wa namna yake😅

    Hanaga Shida Na Mtu Hagombei Kucheza Mazoezin Hachelewei Wala Hakosi Anaishi Na Makocha Vizuri Anaishi Na Mabosi Vizuri Anaishi Na Wachezaj Wenzie Vizuri Phil Jones Ndoo Mfano Halisi Wa “Ishi Na Watu Vizuri"😂 Binafsi Sishangai Kama Akipewa Kandarasi Mpya Ya Miaka 4 Unyumbuni