Search results

  1. Z

    Tumeshinda lakini hatuna furaha papatupapatu

    Perfomance ya hovyo sana kuna kazi ya kufanya. Huwez kumshnda Esperance kwa uchezaj huu
  2. Z

    Chelsea ilifunga mabao mawili katika mchezo kwa mara ya kwanza 2023 na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa

    Kocha huyu ni mbaya kiasi kwamba uamuzi wake mbaya bado unaonekana hata wakati timu inacheza vizuri.
  3. Z

    SWALA LA FEI WENGI WANALIJADILI KWA ANGLE YA KISHABIKI

    Binafsi mm nimeonaa wazo zuri sanaa kama mshabiki wa simbaa kukaribisha team inayomuhitaji feisal ili mambo yaende sawa na sio kuvunjaaa mkatabaa kihunii
  4. Z

    Sakata la Fei linazidi kuleta mvurugano

    Naam na Hio shida nadhani mnaweza kuimaliza kwa kusema mnataka nin ili Fei aondoke., muache tu kusema kua Fei ni mali yenu arudi camp., Fei anataka kuondoka na kama team they should let him Go mana hataki tena kuchezea kwenu labda afe,. So sisi muweke Mezani mnachotaka ili kuruhusu mchezaji...
  5. Z

    Nyota wa Real Madrid alishtukia kiwango chake dhidi ya Real Betis

    Players make systems...sio uforce system on players mfano hatuna Case sa hizi wa kucheza single pivot kwann usijaribu double pivot na ukawa na 4 attackers and check the balance of the team
  6. Z

    Man United tumepigwa kipigo cha aibu sana

    Yan iko hiv siku zote mpira Ni Mchezo wa makosa narudia siku zote mpira Ni Mchezo wa makosa umefanya makosa mpinzani anatuazibu kwa maan ile Ni team kubwa pia inawatu wakubwa ambao wanaweza kukuwazibu kutokan na makosa unayo fanya uwanjan... Naamin timu ilijiamini San kupitiliza kutokan na...
  7. Z

    Liverpool haiuzwi lakini mchakato wa uwekezaji unaendelea, anasema mmiliki John Henry

    Liverpool haiuzwi lakini mchakato wa uwekezaji unaendelea, anasema mmiliki John Henry Fenway Sports Group ambayo John Henry ndiye mwanzilishi na mmiliki wake mkuu ilithibitisha kuwa wanataka kuwekeza mwezi Novemba kufuatia ripoti iliyodai kuwa walikuwa wakikaribisha ofa za kuinunua Liverpool...
  8. Z

    LIverpool vs Madrid ilikua ni mechi nzuri yakusisimua, yakuhuzunisha na kufrahisha "What a game"

    Niliumia sana lakini nilijikuta kukiri ulikuwa mchezo mzuri. Kama unavyoona hata kosa dogo lilitokea basi, Real Madrid watashinda mchezo na mechi iliyopita Lakini kwa kweli wamebadilika sana. Ni sawa Liverpool wazingatie mchezo unaofuata kuheshimu itakua mechi ngumu ila Bado hatujaisha...
  9. Z

    Nimependa kuona Gakpo alikuwa mzuri game ya jana

    Maboresho makubwa katika timu lakini Nunez na Gakpo walionekana kuwa wa kuvutia sana. Gakpo ana uwezo mzuri ni i vyema kuona bao lake la kwanza la Liverpool likiingia kwenye mchezo mkubwa kama huu Itampa ujasiri mwingi. Tazama hatua hii ya sekunde 10 mapema, na uangalie kasi iliyoonyeshwa...
  10. Z

    Liverpool Imerejea kwa ushindi

    Stefan Bajcetic, mchezaji wa namna gani, kwanza Merseyside Derby na aliweka kiwango cha mchezaji bora wa Mechi, alikuwa imara katika ulinzi na pia akisonga mbele kwa pasi nzuri. Bila shaka mchezaji bora anayetoka katika akademi tangu Trent ambaye anastahili vya kutosha kuwa mwanzoni
  11. Z

    Man City yashtakiwa na Premier League kwa madai ya kukiuka kanuni za fedha

    Man City yashtakiwa na Premier League kwa madai ya kukiuka kanuni za fedha Manchester City kushtakiwa na Premier League kwa madai mengi ya ukiukaji wa sheria za kifedha; Premier League imepeleka kesi hiyo kwa tume huru; Man City wanasema "wameshangazwa na kutolewa kwa madai haya ya ukiukaji"...
  12. Z

    Simba wamemtangaza Imani Kajula kuwa Mtendaji Mkuu mpya wa Simba SC. (CEO)

    Imani Kajula alikuwa CEO wa EAG Group ambayo ni Kampuni ya Masoko na Mawasiliano ana uzoefu wa kufanya kazi katika masuala ya masoko na biashara kwa zaidi ya miaka 20. Imani hadi anatangazwa kujiunga na Simba SC alikuwa CEO wa EAG Group kuanzia 2013, kabla ya hapo alikuwa Mkuu wa Masoko na...
  13. Z

    Nothigham Forest vs Man United 0-3

    HT Lindelof jana kacheza vizuri sana
  14. Z

    Wachezaji wa Man United waliopo kwenye Record na waliopanda viwango na waliobakia palepale chini ya ETH mpaka sasa

    Yaaaan ata Dalot tumemsahau kidogo wala hatuwaz now days bisaka anakula mbavu ya kulia nyuma Anapiga saafi kabsa, Mimi siku hz napenda wachezaj ambao watu wana waundervalue😀😀😀 Mwanangu MALACIA hv hamumuon? Yule dogo ni Atari sana HT lindelof jana kacheza vizuri sana
  15. Z

    Nothigham Forest vs Man United 0-3

    Wakipita Newcastle fainali itakua nzuri sana
  16. Z

    Harry Kane afungue macho na atazame mbele kwenye mafanikio zaidi Spurs haitompa kila kitu

    Je, mustakabali wa Harry Kane ukoje? Ripota wa Sky Sports News, Paul Gilmour ana habari za hivi punde kutoka kwa Kane, Tottenham na Manchester United huku mambo yakipamba moto kuhusu hali ya mkataba wa mshambuliaji huyo; Melissa Reddy pia anatoa ufahamu juu ya kusaka kwa Man Utd kwa...
  17. Z

    Odds hizo ukiwana hela weka

    Jichanganyen umpe City
  18. Z

    Simba vs Mbeya City kocha mpira anaoutaka hauwezi kua Simba

    Kocha namuelewa sana anaoneka mtu wa mbinu tumpe mda
  19. Z

    Azam vs Tanzania Prison 3-0

    Cadena anatakiwa kuhamishiwa kwenye nafasi ya kocha mkuu kabisa, timu icheze mpira na kushinda kwa raha. km vs mbeya city na leo🔥🔥🔥