AFCON Thread

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
"Ndoto zimetimia, tutailinda bendera ya nchi yetu kwenye Kombe la Dunia nchini Qatar.
Simba huwa hakati tamaa mpaka pumzi ya mwisho ya matumaini"
🗣️
Andre Onana (Golikipa wa timu ya Taifa ya Cameroon
🇨🇲
maarufu kama Simba wasiofugika)
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1 na anacheza spoti
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania

MKUTANO MKUU WA CAF KUFANYIKA ARUSHA AGOSTI 10​



MKUTANO Mkuu wa 44 wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) utafanyika Jijini Arusha Agosti 10, mwaka huu.