Jibu n kwamba kat ya s na y herufi inayoitangulia nyenzie n s then y n ya mwisho, ndyo maana inaitwa simba vs yanga, hakuna kingine hapo
Ni kweli na ni uhalisia inasound good sana kutamka Simba vs yanga kuliko mechi ya yanga na SimbaNimechunguza na kutambua kuwa watu wengi linapokuja suala la mechi ya watani wa jadi basi wengi wataanza kuitaja Simba kisha Yanga.
Yaani leo ni mechi ya Simba na Yanga. Yaani lazima Simba aanze kisha Yanga atafuata.
Hili lipoje huko kwenu na ni nini sababu ya hili kutokea.