Eti Wana Kijiweni Kwanini Ni Simba vs Yanga Na Sio Yanga vs Simba

baraka siame

Mpiga Chabo
Sep 11, 2024
2
0
0
Jibu n kwamba kat ya s na y herufi inayoitangulia nyenzie n s then y n ya mwisho, ndyo maana inaitwa simba vs yanga, hakuna kingine hapo
 

MIKOGO 2024

Mpiga Chabo
Sep 10, 2024
4
0
0
Hii Imekuwa kama tamaduni tu kwasababu Simba ni mkuu Kwa Yanga katika Suala la football apa Bongo na ndo mkuu wa Derby, ko ndo hvoo,, Simba na Yanga
 

Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Jiulize kati ya Mwenyenchi SIMBA SC🦁 na Mwananchi Yanga Sc🐸, nani mkubwa??
Mwananchi ni mtoto wa Mwenyenchi.
 
Last edited:

rashidijoa

Mpiga Chabo
Oct 19, 2024
1
0
0
Nimechunguza na kutambua kuwa watu wengi linapokuja suala la mechi ya watani wa jadi basi wengi wataanza kuitaja Simba kisha Yanga.

Yaani leo ni mechi ya Simba na Yanga. Yaani lazima Simba aanze kisha Yanga atafuata.

Hili lipoje huko kwenu na ni nini sababu ya hili kutokea.
Ni kweli na ni uhalisia inasound good sana kutamka Simba vs yanga kuliko mechi ya yanga na Simba 😂