FULL TIME : Fountain Gate FC 1 Simba SC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
545
711
125
Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Fountain Gate FC kutokea Manyara dhidi ya Simba umemalizika salama katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwa sare ya bao 1 kwa 1

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
 
Nov 7, 2024
24
6
5
Leo simba wamecheza kama walikuwa na matokeo mikononi mwao nafsi walikuwa nayo kipindi cha kwanza wakapuuzia matokeo yake ndio hayo namlaumu chasambi, ateba na mukwala haiwezekani kupata nafasi kama ile anachezea miguuni hata ukisema ni presha haikidhi
 
  • Like
Reactions: said sud

Bright tz

Mpiga Chabo
Feb 6, 2025
1
0
0
Bright tz_mchezo ulikuwa mzuri Sana lakini sio kwa upande wa lunyasi kwa mahana point moja sio matarajio ya wanasimba