Kuna mtu kanambia Kuna timu inaongoza ligi kama muda wa status ila Leo imeongezewa muda na kuwa profile pictureKikubwa tuna Jeenga timu
Simba wanakela bwan
Alikuwa kabet GGKiukweli chasambi kazingua sana
Mchezo mzuri ila bahati haikuwa kwa simbaMchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Fountain Gate FC kutokea Manyara dhidi ya Simba umemalizika salama katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwa sare ya bao 1 kwa 1
Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?