Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Kwa Mujibu Wa JEMEDARI SAID Ambaye amepost katika kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Ameandika:

KIBU DENIS AMETOROKA NCHINI LEO KWENDA NORWAY Mchezaji wa Simba SC KIBU DENIS PROSPER ameitoroka timu yake ya Simba jioni ya leo na kukimbilia nchini Denmark. Kibu ambaye amesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miaka 2 na kupokea 400M ameondoka na ndege ya Ethiopia Airline ya saa 10 jioni kupitia Addis Ababa akitumia tiketi ya kwenda pekee (single ticket) bila na kuwa na ya kurudia hali inayotia shaka kwamba huenda asirudi tena nchini. Mchezaji huyo Mtanzania mwenye asili ya Congo DR ambaye alipata uraia wake miaka michache iliyopita ameitia hofu klabu yake kwamba huenda anaenda “KUJILIPUA” kama mkimbizi na asirudi tena ilihali ameshachukua 400M na amekosekana kambini tangu Simba imeanza Pre-season. Wakala anaetambulika na klabu wa mchezaji huyo ambaye Bin Kazumari imetambulishwa kwa jina moja la Yazidu (Mwanasheria) alishapokea mkwanja wake na kusaini karatasi za mkataba na malipo na klabu kitambo, huku katika hali nyingine Simba wakionekana kumkana mtu mwingine yoyote ambaye sio Yazidu kujitangaza kama wakala wa Kibu na wametia shaka huenda kuna mtu yuko nyuma ya mpango wa kumtorosha mchezaji. Picha 3 ni KIBU alivyopita airport “Kininja”, nyingine inaonyesha Visa na mwisho ni passport yake. Simba inafanya jitihada kuhakikisha kijana wao anarejea kambini kujiunga na wenzake.
 

Pius.

Mgeni
Jul 23, 2024
2
1
5
Watanzania wakipata mafanikio kidogo tu Wana Anza dharau huyo kibu anaweza ishia pabaya sana kwa kula ela ambazo hajazitolea jasho
 
Jun 20, 2024
4
1
5
Kibu denisi akili sufuri, karubuniwa siyo bure. Kama ni kweli katoroka, basi anue anaharibu title yake hajuna club itamwamini na kusain kandarasi
 
May 2, 2024
3
2
5
Vitu vingine ni ushamba tu kama plani haiku kuichezea simba msimu huu angekaa chini tu na uongozi wakamalizana ili kila mmoja akashika hamsini zake mpaka timu inakuweka kwenye list ya wachezaji watakaocheza kimataifa wewe upo kimya tu kama sio uchoko ni nini.
 

Abdan Mkude

Mpiga Chabo
Jul 23, 2024
1
0
0
Kibu aache ujinga, hicho anachokifanya ni kujipotezea muda huku wenzake wakijifua na baadae akiingia uwanjani na pale anapoharibu atasema ana majeraha au ndo ile mambo ya kutupiwa majini 😂😂😂😂
 
Jun 23, 2024
21
4
5
Anazingua sana kama kuna club inamazungumzo nae si bora akawa muwazi kuliko kuwapotezea muda watu wanaojuliza yupo japo meneja wake ashathibitisha kua yupo ulaya sasa aweke wazi kua atarudi au ndo ashajipata
 
Jun 2, 2024
15
9
5
Hatujui ni nini kinachoendelea baina yake na Mabosi zake na kama amepata mkataba na timu nyingine it's okay huenda Mabosi zake wa sasa wamefanya Ngumu so ameamuwa kujiongeza kwa namna hyo.
But kwenye Ethics za Football Kibu D Mkandaji amezinguwa Na Amezinguwa Haswa
 
Jul 23, 2024
1
1
5
Alikuja kama mkongo/mrundi au muha..tukampa mkataba na uraia nabado ametorokea huko mbeleee... haya maisha bwn...MASHABIKI WA SIMBA TUNA SIRESI NYINGI SASASAHV..yaan ukinikanyaga kdogo tu nina WEWE😏
 
  • Like
Reactions: Bplm1664

MC Danny FM

Mpiga Chabo
Jul 23, 2024
2
0
0
Ifike mda tuache tabia za kung'ang'ania wachezaji kibu kwa haraka haraka Hana Nia na simba tena ni vile tu wamalazimisha , hana molali na timu avunje mkataba kabla dirisha la usajili halijafungwa tisajili mbadala wake chapu
 

NGUVUMALI

Mgeni
May 20, 2024
26
7
5
Kibu inampasa kujuwa kazi haiendi namna hiyo kama alitaka kusepa angesema kwamba hayopo tiyali kusaini tena