Kimsingi naona Simba atapata wakat mgum kutokana na ukwer kwamb team zote hajawah kukutana nazo katika siku za hivi karibuniKlabu ya soka ya Simba imepangwa kundi A ambapo itacheza na timu hizi hapa
Simba SC
CS SFAXIEN (Tunisia)
CS Constantine ( Algeria)
FC Bravos (Angola)
View attachment 1574
Ahahhaah unadhani Kuna kayoko huko etyyale yale mara paa Simba wamwisho
Ahahaha Asante kaka unajua mpira wwTumepita mwaka huuu kombe la simba ubaya ubwela mnyama