Recent content by Roby Simba

  1. R

    Mchezaji Gani Imekuuma Sana Kukosekana Kwenye Kikosi Cha Msimu?

    Achana na huko kilicho niuma ni FEISAL KUKOSA TUZO MOJAWAPO KATI YA KIUNGO BORA au MVP wa NBC PREMIER LEAGUE daaaah
  2. R

    Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?

    Hajui Kuna maisha baada ya kufeli majaribio huko acha ajikute ameyapatia maisha nipo pale hii ni Tanzania atasema tu mwenyew bila kuulizwa
  3. R

    Mkeka Wa Leo Jumatatu 15/07/2024 Mechi Za 'Ubaya Ubwela'

    Both team to score(BTS) Ina maanisha timu zote kufunga au kupata mabao mfano Singida Black star 3:2 Pamba jiji
  4. R

    Hii Kauli Ya Mo DEWJI Anamaanisha Nini?

    Hiyo kauli ameitoa wapi mbona haionekani
  5. R

    Mkeka Wa Leo Over 1.5 Mechi 4

    E5XDQAC code hizo hapo betpawa
  6. R

    Wazir Jr Anafaa Sana Pale Simba Sc Kwa Washambuliaji Wazawa

    Anafaa nahisi atakuwa amejifunza ukienda kwenye timu kubwa inatakiwa uchezej maana alienda yanga akachemsha so Kwa wakati huu akienda Simba Wenda akaonyesha kitu alichonacho
  7. R

    Mkeka Wa Leo 17/06/2024 Odds Za Kibingwa

    Kweli hapo akitumia code ni rahisi kuzipata hizo zingne
  8. R

    Mkeka Wa Leo 17/06/2024 Odds Za Kibingwa

    Timu zingne hata hatuzijui ni ngumu kuzipata Ingekuoendeza uwe unatuma na code zake ombi lakniπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
  9. R

    Unataka VAR Vipi Kuhusu Miundombinu?

    VAR Hain maana Kwa saa hv maana hata miundombinu ya viwanja hairidhishi kuwa na VAR kikubwa wangeborasha viwanja kwanza japo wanasema mtu anaesaidia huwezi kumpangia kwahyo tuishi nayo TU kiroho mbaya πŸ™πŸ™
  10. R

    Usajili Simba Wanaanza Na Huyu Hapa

    Watusajilie wachezaji wa maana aloooh Simba ni furaha ya kila mtanzania anaependa mpira πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚