Tangu ajiunge na Yanga Sc kocha Nabi raia wa Tunisia amepoteza mechi yake ya pili ya ligi kuu Tanzania bara.
Hongera Sana Kocha wetu Nabi kwa historia uliyotuwekea ,hakuna kocha aliyewahi kuongoza timu kwenye ligi yetu akacheza michezo 49 bila kupoteza.
Kwetu mashabiki ni huzuni kupoteza alama...