Watu wa Magharibi walitaka na kulazimisha sana kutuaminisha kwamba Qatar πΆπ¦ watafeli pakubwa kwenye michuano hii baada ya kukataa tamaduni zao ila Qatar wamekuja kuwaprove wrong. Kwanini wasiombwe msahama Qatar na wapewe pongezi wa kutupa kilicho bora zaidi???