Search results

  1. C

    Mmeshinda lakini mna furaha?? Yanga Pointi 7 nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi

    Waarabu kuna wakati wanaonekana bora kwasababu ya umakini wao kwenye nafasi wanazopata wanazitumia vizuri,hii mechi ilikuwa ya kushinda hata goal 5 kama umakini ungelikuwepo.bado kuna tatizo kwenye umaliziagi.
  2. C

    Chelsea ilifunga mabao mawili katika mchezo kwa mara ya kwanza 2023 na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa

    Uokoaji mzuri kutoka kwa Kepa na pambano kuu usiku wa jana Je, tunaweza tu kuwapigia makofi wachezaji hasa Cucurella; Amekuwa wa ajabu jana Wachezaji wote nje na ndani ya uwanja wamefanya kazi nzuri. Michezo miwili, ushindi mbili kwa Potter; MWANAUME WA MECHI: CUCURELLA!!!!..
  3. C

    Tumeshinda lakini hatuna furaha papatupapatu

    Simba Hii iko Very Slow Hawana Njaa Na Mpira Hawakai Kwenye Nafasi Poor Coaching🤮
  4. C

    Nyota wa Real Madrid alishtukia kiwango chake dhidi ya Real Betis

    Kocha anahitaji madirisha yasiyopungua matatu kutengeneza timu anayoitaka na hata hvo amejitahd sana kucope na wachezaji waliopo mpk kufikia hatua hii kumbuka nusu ya kikosi kizima wachezaji amewakuta na huenda hawawez kuingia kweny mifumo yake so tusubir tuone summer atafanya usjali gan ila mna...
  5. C

    Sakata la Fei linazidi kuleta mvurugano

    Mkataba wa timu na mchezaji ni mkataba wa ajira ukiachana tofauti kadhaa, hata katika mkataba wa kawaida tu wa ajira duniani na hapa Tanzania mfanyakazi akiacha kazi bila kufuata utaratibu mahakama huwa haimlazimishi mfanyakazi kurudi kazini (specific performance), bali inampa inamlipisha fidia...
  6. C

    Yanga nao wametinga Robo fainali FA

    Huyu Ata mtoa mayele mayele sasa ajipange kama mkungu wa ndizi
  7. C

    Jezi ya Yanga ni kali ukweli usemwe

    Sheria Ngowi ana tupeleka spidi sana Sasa ya msimu ijayo itakuwaje level ya Ubunifu jezi nyeusi duh
  8. C

    Bale mpira bado unamuhitaji sijui kimemkuta nini kaamua kupumzika mapema hivi

    Bado tulikua tunamuhitaji sema maamuzi yake tunaheshimu
  9. C

    Chelsea amelamba Nyasi uko darajani dhidi ya Man city

    Michezo ya ufundi ya dau la juu ni bora zaidi kuliko ile ya oktane ya juu lakini ile butu kiufundi. labda kocha ana malengo zaidi lakini mbinu ndizo zinafanya soka kuwa la kufurahisha zaidi. J
  10. C

    Vipi leo tunawapa mtazamo gani? wote wametoka kusuluhusu mechi zao za mwisho

    Tutawasaidia Arsenal ikibidi:confused::confused::confused:
  11. C

    SIMBA KUIHAKIKISHIA YANGA UBINGWA.

    :LOL::LOL::LOL:
  12. C

    Simba shida ipo wapi embu tuonge leo

    Timu hamna humo
  13. C

    Wakuu unamwona nani akitoboa Qatar

    Goat
  14. C

    Roundi ya kwanza imeisha na huu ndo msimamo ulivyo

    Yanga🔥🔥🔥🔥