Search results

  1. A

    SWALA LA FEI WENGI WANALIJADILI KWA ANGLE YA KISHABIKI

    Nasimama na paragraph ya mwisho .. Let's Focus. Let's Move ON.
  2. A

    Yanga nao wametinga Robo fainali FA

    Hii mipira anayopiga azizi ki kila kipa ataonekana mbovu tu isipokua diara nae ni kwa sababu wanacheza nae timu moja
  3. A

    Clement Mzize ana kipaji sana Yanga wampe nafasi sasa

    Napenda sana na kufurahia jinsi kocha wa Yanga Prof. Nabi anamsimamia mmoja wa wachezaji wetu Clement Mzize kwa kumpa nafasi za kushindana katika kiwango cha juu, akiwa na urefu mzuri na ujuzi mzuri wa kumalizia anaweza kukuza na kuwa mmoja wa washambuliaji bora katika soka la 🇹🇿 kwa miaka 10...
  4. A

    Mpira umechezwa na timu zote kwa ari na hali ya juu sana.

    nilikuwa namhurumia tu Kocha,angepoteza tena sijui ingekuwaje Msimbazi,Makosa bado mengi midfield na strikers,umakini upo chini sana,Kipa mrefu utamfungaje kwa mipira ya juu,Hebu wapelekeni Wachezaji Kambi ya JKT Ruvu mazoezi
  5. A

    Liverpool Imerejea kwa ushindi

    Gakpo alichangia kweli na Nunez alijitahidi kadri awezavyo, SALAH aliendeleza mchezo wake kama alivyokuwa akifanya siku zote Gomez akijiamini kama beki wa kati na Matip anahitaji kujishughulisha zaidi.
  6. A

    Ten Hag ametupa matokeo ambayo tuliyakatia tamaa

    Garnacho na Martinez ndio game changers Rashy the inevitable Malacia hawezi kupandisha timu Shaw dakika kadhaa tuu Cross moja bao Garnacho game changer Weghorst karudi namba 10 anabonda balahhh
  7. A

    Ntibazonkiza atupwa nje kuelekea Guinea

    Sababu ni ipi haswa
  8. A

    Man United dhidi ya Leeds United Rashford, Sancho kurejea pointi na kuwaokoa Red Devils wakiwa nyumbani

    Narudia tena top four kwa Erik Ten Hag itakuwa mafanikio makubwa sana kwake msimu wa kwanza kuinoa Utd.
  9. A

    Jezi ya Yanga ni kali ukweli usemwe

    Kwa kifupi Jezi Nyeusi inawavutia washabiki ambao hawana Usiasa katika Mpira, Yanga wako wakati wa mbele zaidi kwenye jezi uzi mkali Kwenye suala la jezi Yanga hana mpinzani aseee Yani kwenye pongezi tutoe na kwenye ukweli tuseme Hii timu kuna watu wanaakili ya ziada
  10. A

    Chelsea hii imekua pasono sasa mnatuumiza hata sisi mashabiki wapinzani

    Mpango wa Enzo Fernandez, unaingia katika saa muhimu na muhimu - unakaribia Ofa ya Chelsea ilitolewa jana: €120m kwa awamu, rais wa Benfica Rui Costa anatarajiwa kuamua hivi karibuni. Todd Boehly na Behdad Egbhali wanaifanyia kazi kwa bidii pamoja na bodi. hili dili la Enzo kwenda Chelsea ni...
  11. A

    Leicester City wametengeneza pesa nyingi kutokana na ada ya uhamisho misimu michache iliyopita Hii haijumuishi uhamisho wa Wesley Fofana kwenda blues

    Kidogo nje ya Kante takwimu halisi ilikuwa ap 5m, lakini bado baadhi ya faida ngozi! Ni aibu tu tunahangaika mwaka huu
  12. A

    Wachezaji wa Man United waliopo kwenye Record na waliopanda viwango na waliobakia palepale chini ya ETH mpaka sasa

    Mm naonaga kma Anthony inabidi achukue projector akae kwenye chumba mwenyewe aanze kuangalia clip za Saka. Labda atajifunza
  13. A

    Mkeka

  14. A

    Mkeka

  15. A

    Mkeka

  16. A

    Mkeka

  17. A

    Mkeka

  18. A

    Yanga inachukua pointi tatu kwa tabu sana

    akindelea kucheza mpila kama wajana hata huko kwenye kombe lashikisho mapema tu tusha tolewa siyoni timu kufika mbali kama shabiki wa yanga