Search results

  1. B

    Madrid tunaelekea Champions ligi kwa hali hii tuliyo nayo sasa?

    Musiala unamtoaje Bayern??tuanzie apo ana mkataba sijui mpaka lini uko
  2. B

    Fainali ya Mapinduzi Cup Singida Big Stars vs Mlandege

    Singiga wasicheze hapa hili kombe hata
  3. B

    De gea atakubali kushusha Mshahara

    Hii ni sehemu ya bongo ila naachoona hili swala ni ligumu sana de gea kawa mzuri sana saivi
  4. B

    Azam hawajua bado shida yao kwenye magoli kipa

    Pengine ni kocha wa magolikipa ndo tatizo Pengine ni ubora wa timu wanazokutana nazo Pengine labda ni kweli bado hawajapata kipa bora Pengine Au tatizo ni lipi kwenye mlsngo wa Azam uwanjani, pia kupata golikipa mzuri sio jambo rahisi. Ninachoona pia kwa AZAM waache kuendekeza mashabiki wa...
  5. B

    Bale mpira bado unamuhitaji sijui kimemkuta nini kaamua kupumzika mapema hivi

    Club Bngwa Ulaya mara 5 Katisha sana zaidi ya sana.
  6. B

    Rasmi Jack Butland amekamilisha uhamisho wa kwenda Manchester United kwa mkopo hadi mwisho wa Msimu

    Jack Butland amekamilisha uhamisho wa kwenda Manchester United kwa mkopo hadi mwisho wa msimu. Kubadili kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 kutoka Crystal Palace kunakuja miezi sita baada ya maskauti kumtambua kama mlinda mlango wao chaguo la kwanza kwa David De Gea. Uhamisho ulikuwa...
  7. B

    Chelsea amelamba Nyasi uko darajani dhidi ya Man city

    Jinsi Chelsea wanavyocheza kwa bidii na tabia njema nina uhakika msimu ujao hawataweza kuzuilika katika michuano hiyo
  8. B

    Yanga wanasonga mbele Mapinduzi Cup

    Ambundo pamoja na kutupatia ushindi lakini kamati ya hadhi na wachezaji wa young Africans inabidi imfanyie uchunguzi
  9. B

    Simba is OUT.

    Timu ziko tatu ktk kundi na timu mbili Zina points nne nne alafu Simba Hana point yoyote ina maana mchezo unao fuata akicheza Hata kama ata shinda atakuwa na points tatu Huku wenziwe nne nne katika kundi.
  10. B

    Picha linajieleza

    wamoto san tukipata streika njaa zile chance anazochezea martial ziwe kamba aah mbn mbio za ubingwa tupo
  11. B

    Tusifie uku aisee timu yetu ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

    Nunu hana presha pale too much...kuna chance za kila siku...na kuna chance ...uzembe...
  12. B

    Naona kama Bissaka kaamua kuuwash moto hivi au mnaonaje?

    Kwanza hiyo krosi, assist ndoige ya Bissaka
  13. B

    Wakuu unamwona nani akitoboa Qatar

    croatia
  14. B

    Yanga Group D

    Hii tunatoboa