Search results

  1. Balyx_

    SIMBA KUIHAKIKISHIA YANGA UBINGWA.

    Pale pagumu kwakweli ila ilibidi Simba afe paleπŸ˜‚
  2. Balyx_

    MIMI SIO NABII ILA YANGA KOMBE LA MSIMU HUU HACHUKUI

    πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  3. Balyx_

    DARWIN NUNEZ MLIPIGWA

    Liverpool hawataki kabisa kukubali kwamba Β£100m walizozitoa zilienda buree kabisa. Namfananisha na Chamack wa Arsenal enzi zile πŸ˜‚
  4. Balyx_

    MIMI SIO NABII ILA YANGA KOMBE LA MSIMU HUU HACHUKUI

    Kwanza anapoteza game unatoka dhidi ya Mabingwa wajao, then atapitia kipindi kigumu cha matokeo yeye pamoja na pacha wake, hiyo itakuwa nafasi kwa Azam Fc
  5. Balyx_

    NIMEISHUHUDIA BAHASHA LIVE

    πŸ˜‚πŸ˜‚
  6. Balyx_

    SIMBA KUIHAKIKISHIA YANGA UBINGWA.

    πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  7. Balyx_

    NIMEISHUHUDIA BAHASHA LIVE

    Jana game ya Yanga vs Coastal Union, hamkuona kibunda mfukoni mwa mmoja wa bench la ufundi la Coastal?? Mlionaaa.
  8. Balyx_

    AJIB ANA TATIZO GANI?

    Alipojuinga na Azam Fc imani za mashabiki wa Soka Bongo juu ya uwezo wake zilifufuka upya, ila baada ya kufika akaanza kuota kitambi badala ya kufunga magoli na kutoa assists. Je ataweza kuinuka tena huko Singida Big Stars?
  9. Balyx_

    Leo kuna matokeo ya Aina Mbili tu.

    Leo yanga anaangukia pua
  10. Balyx_

    TUWAOMBE MSAMAHA QATAR

    Walitaka kuwafelisha sana Waarabu
  11. Balyx_

    Kumekucha..!

    Alikuwa ball boy wa team πŸ˜‚
  12. Balyx_

    AZAM WAKILIKOSA KOMBE MSIMU HUU NDO BASI TENA

    Azam football club πŸ˜‚ Simba labda aliibe πŸ˜‚
  13. Balyx_

    Neymar Jr Amtolea Mbavuni Richarlson

    Kwanini anataka aiondoe???
  14. Balyx_

    Nani Mchezaj Bora Wa Mda Wote Kati Ronaldo Na Messi..?

    Mimi kama Shabiki wa Mpira nasema Dunia nzima tunajua GOAT NI MESSI 🐐
  15. Balyx_

    TUWAOMBE MSAMAHA QATAR

    Watu wa Magharibi walitaka na kulazimisha sana kutuaminisha kwamba Qatar πŸ‡ΆπŸ‡¦ watafeli pakubwa kwenye michuano hii baada ya kukataa tamaduni zao ila Qatar wamekuja kuwaprove wrong. Kwanini wasiombwe msahama Qatar na wapewe pongezi wa kutupa kilicho bora zaidi???
  16. Balyx_

    MECHI YANGU BORA YA WORLD CUP 2022 NI ARGENTINA vs NETHERLANDS

    Nayo mbungi ilipigwa
  17. Balyx_

    MECHI YANGU BORA YA WORLD CUP 2022 NI ARGENTINA vs NETHERLANDS

    Hiyo nayo ilikua kali