Search results

  1. N

    Sporting CP vs Arsenal Gunners wapata sare nchini Ureno baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa Europa League

    Sporting CP vs Arsenal wafunga bao, matokeo ya Gunners kupata sare nchini Ureno baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa Europa League Arsenal walikuwa wazembe na walijitenga wakati fulani, lakini The Gunners waliondoka Lisbon wakiwa na bahati ya sare ya 2-2 baada ya dakika 90 za mchezo dhidi ya...
  2. N

    Yanga wamefanikiwa kuzipata point tatu muhimu mpira ulikuwa mzuri team zote mbili zilicheza kwa tahadhari sana

    Yanga wamefanikiwa kuzipata point tatu muhimu mpira ulikuwa mzuri team zote mbili zilicheza kwa tahadhari sana. Game ya Jana Yanga alizidiwa eneo la katikati na Kocha Nabi aliliona hili japo halikuzuia wao kupata ushindi Kama Bamako wangekuwa watulivu mbele wangepata magoli Ila haikuwa bahati...
  3. N

    Mmeshinda lakini mna furaha?? Yanga Pointi 7 nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi

    mimi naliona ili ama, timu zetu zimekosa uwezo wakupiga pasi zikafika kwa mlengwa ni wachezaji wachache wanaofikisha pasi mipira mingi inapotea kwenye kupasia tatizo ni nini ? Juzi niliona Simba wakistragol kwenye kupasiana jana tena nimeona Yanga nao tatizo ni lile lile, sasa sijui makocha hilo...
  4. N

    Chelsea ilifunga mabao mawili katika mchezo kwa mara ya kwanza 2023 na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa

    • Mchezo mzuri kutoka kwa Havertz, bado yuko katikati. • Koulibaly alikuwa imara, sawa na Fofana. • Kepa alikuwa mnyama. • Chilwell ni yeye. • Mchezo mzuri tulikuwa nao.
  5. N

    Tumeshinda lakini hatuna furaha papatupapatu

    Bdo u serious hamna magoli yawazi kabsa tunakosa pass hazina uhai kabsa zinapotezwa ovyo ovyo kwanamna hii wajiandae na mzuka mwingine uko Casablanca
  6. N

    Barcelona wameshinda michezo yote saba ambayo Lewandowski amekosa msimu huu

    Kwa hivyo chapisho hili linapaswa kumaanisha nini sasa? Kwamba hawamuhitaji au hawafanyii vya kutosha msimu huu?
  7. N

    SWALA LA FEI WENGI WANALIJADILI KWA ANGLE YA KISHABIKI

    Nimependa Sana hii muvi jinsi yanga wanavyoicheza... Eti nasikia kwenda tff kuomba mkataba uvunjwe, Sasa kwa taarifa zake ajue kuwa tff watamuuliza maswali yafuatayo 1. Yanga wamekiuka masharti yoyote ya mkataba unaotaka kuuvunja? 2. Kama ndio Ni yapi? 3 Kama hawajakiuka unataka tff watumie...
  8. N

    Nyota wa Real Madrid alishtukia kiwango chake dhidi ya Real Betis

    Ni kupanga tu timu Garcia anarudi ni LB shida iko kwa RB! Kama ni crosses tu yule Perreira wa Leicester anamwaga maji vizuri sijajua kama kadrop ila anamwaga sana! Vinicius Tobias apewe tu nafasi najua sio mzuri kukaba ila passing yake na delivery naiona nzuri akipata na uzoefu kidogo atawaka...
  9. N

    Man United tumepigwa kipigo cha aibu sana

    Ni kawaida kupoteza na kushinda, pia inaitwa mpira wa miguu, hakuna anayeweza kutabiri utashinda au kupoteza kwa aibu au kupoteza kwa aibu huu ni mpira wa miguu, fanya kipigo hiki cha aibu safari hii itakuwa fundisho kwa mechi ijayo, lakini ikiwa ikiwezekana Manchester United lazima inunue...
  10. N

    Sakata la Fei linazidi kuleta mvurugano

    Yanga wana kosa gani kuhusu Feisal? Hivi mnajua viongozi wameshii mara ngapi Feisal arudi klabuni kuyamaliza na amegona mara zote? Mnataka Club wavuke maji na kwenda Zanzibar kumpigia magoti? mnailamu klabu kwa vitu ambavyo hamvifahamu.
  11. N

    Yanga nao wametinga Robo fainali FA

    Ugonjwa wa Yanga na mipira iliyokufa umefikia kwenye stage ya aibu. Kwa timu kubwa huwezi kuwa unaruhusu magoli ya namna hii kila kukicha. Speed ya Yanga kwenye kutengeneza mashambulizi ni ndogo sana Kazi kubwa inahitajika benchi la ufundi sehemu ya kiungo na kufanya marking katika kona na...
  12. N

    Roberto Firmino kuondoka Liverpool baada ya miaka minane mwishoni mwa msimu

    Fowadi wa Brazil Roberto Firmino ataondoka Liverpool mkataba wake utakapokamilika mwishoni mwa msimu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 amekuwa na Liverpool tangu ajiunge nao kwa mkataba wa £29m kutoka Hoffenheim mnamo Juni 2015. Firmino ameisaidia Liverpool kushinda Ligi ya Mabingwa...
  13. N

    Liverpool kama wanarudi mchezoni

    Konate hufanya Virgil na ulinzi wote kuwa bora zaidi Bajcetic alikuwa mzuri tena Tsimikas alidharauliwa, aliweka traore kimya katika mechi nzima. Salah alikuwa maskini sana, lakini bado aliweza kufunga, hilo ndilo jambo kubwa kwake. Núñez angeweza kuwa na wasaidizi 3! Pointi 3 muhimu Mechi...
  14. N

    MAONI YA DR. PALLANGYO KUHUSU SAKATA LA FEISALI

    Hapo awali nilichagua kutoongea kabisa kuhusu suala Hili la Feisal kutokana na sababu kadhaa na niliamini litapita na kwa sawa kutokana na kwamba nilikuwa nimeongea naye Mara kadhaa Nina Machache nataka nimkumbushe Feisal na kuwafahamisha wanamichezo wote 1, Yanga sc Tarehe 12 jul 2018 saa...
  15. N

    EPL Kuna timu tumezimis Sana unalikumbuka Chama Gani umelimis Kuliona

    Bolton kuna msimu walisumbua wakaingia mpk big four but hawakucheza CL kwa sababu Chelsea alishinda CL na hakuwa kwenye big four so ikabid acheze km bingwa mtetez ikafanya Bolton kucheza ueropa
  16. N

    Nipe Mtazamo Wako Kuhusu Mechi Ya Leo

    Kiungo me ntk aanze sabitzer casemiro na bruno mbele Rashford, Rancho Weghost nyuma Martinez na Varane ,Shaw na Dalot kipa Degea apo tumeua mtu
  17. N

    Bayern wanastahili sifa zaidi kwa kuendelea kuzizidi timu nyingi bora barani Ulaya

    Sergio ramos amewabeba sana psg kwenye kublock mashambulizi ya hatar..upo sahihi fundi🔥 Kwa Gianluigi Donnarumma ilikuwa ni swala la mda Tu maana hata save aliyofanya kabla ni mwili wake Tu... Neymar Jr and Leo Messi upfront isn't productive since no runner like Mbappé. Impressed with Nuno...
  18. N

    Best player in the world, The Greatest of All Time. 🐐

    Na malengo mengi ya awali huko Uropa pia, je, mtu mzima alikuwa akicheza dhidi ya watoto? 😒 klabu iliyofunga Ronaldo mwaka jana ilipanda daraja Ligi Kuu ya Saudia, na sasa inashika nafasi ya 13 Usifurahi sana tafadhali 😂✋🏽
  19. N

    Anaitwa Sanchez Watt

    Jamaa anaitwa Sanchez Watt ,Alipata kadi ya njano baada ya kubutua mpira nje ,refa akamuuliza jina lake zaidi ya mara 3 jamaa anajibu "what" ,Refa akaona dharau akampa njano ya pili -Kapteni akamfata refa akamwambia jamaa anaitwa Watt ,refa akafuta kadi,mwamba akarudi ndani
  20. N

    Manchester United imekuwa team yenye spirit ya ushindi kwasasa

    Barcelona tunawapiga kama ngoma mwaka huu ndio muda wa kurudisha kisasi chetu walivo tufunga miaka ya nyuma kwenye final