Search results

  1. U

    AKAMINKO NI $400k na KIPRE Jr ni $400k

    Gsm hajaja kuvunja bakuli.....bakuli lipo pale pale🤣
  2. U

    Buriani Pelé

    "Siku moja, natumai tunaweza kucheza mpira wa miguu pamoja mawinguni" - Ujumbe wa Pele baada ya Diego Maradona kufariki mwaka wa 2020. Furahieni mchezo wenu huko mbinguni malegendari
  3. U

    Buriani Pelé

    😰😰
  4. U

    Rashford msimu huu kawa Mcharo.!

    Shida walionayo hawa wachezaji wa kiingereza ipo kwenye damu "muendelezo mzuri" sema ni vizuri tukaishi na wakati ni wakati wake na anautumia vema!!
  5. U

    AKAMINKO NI $400k na KIPRE Jr ni $400k

    Wazee wa bakulii wataweza wapii🤣🤣
  6. U

    AZAM KWENYE GOAL KEEPING POSITION IMEKUA UGONJWA WA KUDUMU.

    Ni kweli mimi nafikiri kuliko kugombania na wachezaji ambao wanawasumbua hasa katika kuwapata kama fei, chama ni ya heri wangetupa karata zao kwa chaguo rahisi kama msheri na kakolanya
  7. U

    Messi: 'Jumapili itakuwa mechi yangu ya mwisho katika Kombe la Dunia, siwezi kuchukua mechi nyingine'

    Ilikuwa yapata saa 2:20 asubuhi (saa za huko) kwenye Uwanja wa Lusail. Pamoja na waandishi wa habari wa Argentina, na 'Olé' kichwani, tulimngoja Lionel Messi katika eneo la mchanganyiko. Na huko, pamoja na MARCA, alizungumza nasi kwa dakika tano, akianza na uthibitisho: "Najivunia kuweza...
  8. U

    Yanga Group D

    ndo mtajua hamjuii
  9. U

    Yanga Group D

    naona wamerudishwa Tunisia
  10. U

    This man🙌🙌🔥

    Havumi lakini yumo
  11. U

    Nusu fainali ya Kombe la Dunia imethibitishwa: Argentina vs Croatia, Ufaransa dhidi ya Morocco

    Timu za nusu fainali ya Kombe la Dunia zimethibitishwa kwani Argentina itamenyana na Croatia na Ufaransa itacheza na Morocco. Argentina vs Croatia itachezwa Jumanne, Ufaransa vs Morocco itachezwa Jumatano. Fainali itachezwa Jumapili tarehe 18 Desemba.
  12. U

    Alan Shearer anaipongeza Argentina kwa kumpeleka Messi kwa penalti yao ya kwanza

    Alan Shearer aliashiria agizo la wapiga penalti wa Argentina kama 'ufunguo' katika harakati zao siku ya Ijumaa, baada ya Brazil kutoka nje kwa mikwaju ya penalti mapema siku hiyo. Neymar hakupiga penalti kwa Brazil alipokuwa ameshuka hadi nafasi ya tano, na fowadi huyo wa nyota alionekana...
  13. U

    Madrid wanamtaka Bruno wa United?

    vipi mashabiki wa Man U mbona kama hamjiamini:ROFLMAO::ROFLMAO:
  14. U

    Teh Hag

    uyu nae mbona kizungumkuti; mara akatae kuongelea akidai yameshapita mara aajitetee kama hvii....au yahsaaanza kumrudia
  15. U

    Ratiba ya Azam Sports Federation Cup

    Mtibwa Sugar Vs TRA Kilimanjaro Tanzania Prisons Vs Misitu Fc Singida Big stars Vs Lipuli Fc Coastal Union Vs Tanga Middle Yanga SC Vs Kuruhenzi Fc Simba SC Vs Eagle FC KMC FC Vs Tunduma Korosho Fc Azam Fc Vs Malimao Fc Fountain Gate Fc Vs Rhino Rangers JKT Tanzania Vs Biashara United Ndunguti...
  16. U

    RASMI: Luis Enrique anaacha nafasi yake kama meneja wa timu ya taifa ya Uhispania masaa

    Levvy Luis Enrique si kocha tena wa timu ya taifa ya Uhispania Luis Enrique sio kocha wa Uhispania tena! Uamuzi huo ulichukuliwa na viongozi wa Shirikisho la Uhispania, Luis Rubiales na José Francisco Molina, Alhamisi hii. HATOENDELEA na nafasi yake kama kocha mkuu wa Uhispania baada ya...
  17. U

    Wamiliki wa Manchester United wameanza janja janja zao

    awa jamaa kwan hawajarudisha tu mtaji waoo.....wakawaachia watu hii klabu
  18. U

    Ancelotti kuhusu Ronaldo kuwekwa bench

    TAFSIRI Ulifikiria nini kuhusu Ronaldo kuwekwa benchi katika mchezo uliopita wa Ureno?” Ancelotti: "Sikutazama mechi, nilikuwa nikila Pizza na wajukuu zangu."
  19. U

    Eden Hazard astaafu kuchezea timu ya taifa

    nyota nyingine inayoondoka bila kuacha alama yeyote timu ya taifa