Mkataba wa timu na mchezaji ni mkataba wa ajira ukiachana tofauti kadhaa, hata katika mkataba wa kawaida tu wa ajira duniani na hapa Tanzania mfanyakazi akiacha kazi bila kufuata utaratibu mahakama huwa haimlazimishi mfanyakazi kurudi kazini (specific performance), bali inampa inamlipisha fidia...