Search results

  1. A

    EPL Kuna timu tumezimis Sana unalikumbuka Chama Gani umelimis Kuliona

    Stoke city ya kina pennant, Delap, Joel jones, Walters, Etherington Bolton wanderers ya kina Muamba, Cahill na O'brien, Taylor, Davies Derby Country ya kina Paul Green, Commons, Barry bannan, rob hulse, Cris porter Middlesbrough ya Mido, A Johnson,Riggot, Digard, Walker
  2. A

    Nipe Mtazamo Wako Kuhusu Mechi Ya Leo

    Casemiro na Sabtizer wakianza pamoja
  3. A

    Baadhi ya watu naona wanamlaumu kocha mpya lakini uongozi a Simba unawajibika kwa 80%

    Hii nakubaliana na wewe na walichofeli zaidi ni kuleta kocha mwingine within a season na timu tia maji wakati ilishaclick kwa Juma
  4. A

    Mashabiki wetu wanahitaji zaidi hamasa kujaza uwanja

    Kila lakheri chama kubwa Mnyama
  5. A

    Feisal Salum kurejea kikosini

    Mkiachwa muachike
  6. A

    Nimeshangazwa na nimesikitika Arsenal kupoteza ule mchezo

    Pole sana anafata Astonvilla 😂😂
  7. A

    Us Monastir walichokifanya wameamua kumuachia Yanga Mpira au cheze wao wamejisemea kuwa tunataka point 3 muhimu nyumbani

    Yanga shida iko pale pale Winga wanamuhitaji Morisson hasa kwenye michezo hii
  8. A

    Arsenal tokea mzunguko wa Pili uanze wamekuwa na mpira mzuri Ila matokeo mabaya

    Arsenal wamerudi kwenye default next game wako na City hiiii tayari wamepigwa
  9. A

    Ten Hag ametupa matokeo ambayo tuliyakatia tamaa

    Tunamshukuru Gernacho kabadili game haikua rahisi but two chances 2 goals Leeds walistahili hata goli moja ila hawakua na maamuzi mazuri mbele ya goal
  10. A

    Simba haikuwa na shida na Kocha shida ya Simba ilikuwa na kiungo mkabaji

    Kwa mkapa atoki mtu ile timu ni mbovu sana tunaweza kuwafunga zaidi ya goli 2
  11. A

    Anaitwa Sanchez Watt

    Bila shaka alikua timu ya Vijana huyu
  12. A

    Mechi Ya Yanga dhidi ya Rhino Rangers mliionaje?

    Mechi inayofata ndo tutajua sio timu za mchangani
  13. A

    Simba dhidi ya Costal Union Michuano ya FA

    Mgunda anazingua sana nin kama tunatukuza wachezaji
  14. A

    Ronaldo na timu yake ya Al-Nasr wamepigwa chuma 3-1 na wametolewa kombe la Mfalme

    Mnamuwaza sana mzee wa watu anaenjoy pesa saivi