FT : Simba SC 2 KenGold 0 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
467
622
125
Wekundu wa msimbazi wanaendelea pale walipoishia baada ya kushinda goli 2 kwa sifuri dhidi ya KenGold mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa KMC Complex

Mfungaji wa mabao yote mawili ni Leonel Ateba
 
Nov 7, 2024
12
5
5
Tatizo ni kuwa 🦁 ikishapata ushindi anajiamini kabla ya mechi kuisha unakuta hawachezi kama itakiwavyo maana wanapoteza vingi sana na hata kukaribia kufungwa then ukiangalia timu waliyocheza nayo sio ya kuumiza kichwa ila yangemtokea ya costal union leo sijui me