Bora2 arudi power dynamoBig up my team ila mutare aende yanga kwa mkapa
Kikubwa tu wasikate tamaa bc mana point nne si nyingiWekundu wa msimbazi wanaendelea pale walipoishia baada ya kushinda goli 2 kwa sifuri dhidi ya KenGold mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa KMC Complex
Mfungaji wa mabao yote mawili ni Leonel Ateba
Mutale wampeleke yanga kwa mkopHuyu mutale kapewa bangi gani?
Tuliamua kucheza vile makusudiKuanzia dkk ya 68 hv simba walikuwa wamepoa sana..tungecheza na timu inayojielewa kidogo yangetokea yale ya coastal union