FT : Simba SC 2 KenGold 0 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
547
714
125
Wekundu wa msimbazi wanaendelea pale walipoishia baada ya kushinda goli 2 kwa sifuri dhidi ya KenGold mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa KMC Complex

Mfungaji wa mabao yote mawili ni Leonel Ateba
 
Mtu

Mgeni
Dec 18, 2024
2
1
5
Kuanzia dkk ya 68 hv simba walikuwa wamepoa sana..tungecheza na timu inayojielewa kidogo yangetokea yale ya coastal union
 
  • Like
Reactions: Paul__Og77
Nov 7, 2024
24
6
5
Tatizo ni kuwa 🦁 ikishapata ushindi anajiamini kabla ya mechi kuisha unakuta hawachezi kama itakiwavyo maana wanapoteza vingi sana na hata kukaribia kufungwa then ukiangalia timu waliyocheza nayo sio ya kuumiza kichwa ila yangemtokea ya costal union leo sijui me
 
mahamudu

Mpiga Chabo
Dec 18, 2024
1
0
0
Wekundu wa msimbazi wanaendelea pale walipoishia baada ya kushinda goli 2 kwa sifuri dhidi ya KenGold mchezo ambao umechezwa katika uwanja wa KMC Complex

Mfungaji wa mabao yote mawili ni Leonel Ateba
Kikubwa tu wasikate tamaa bc mana point nne si nyingi