Recent content by MR. VIP

  1. MR. VIP

    Yanga Kuachana Na GAMONDI Una Lipi La Kuzungumza Mwana KIJIWENI?

    Walichelewa kumfukuza Gamondi. Walilewa na matokeo mazuri waliokuwa wanapata yanga. Gamondi hakuwa hakuwa na mbinu wala uwezo wa kuwatumia wachezaji boora waliopo yanga. Yaani kiufupi Gamondi level yae ni Pamba au dodoma jiji. Hakuwai kuiandaa timu, timu iliandaliwa na Nabi yeye kadandia gari...
  2. MR. VIP

    FT : Yanga SC 0 Azam FC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa DABI Ya Dar Es Salaam? Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Mpira ndio ulivyo na matokeo ya mpira huwa katili sana kila mara. Ukiona umefurahi wewe ujue kuna mwingine kwa matokeo yaliokufurahisha yeye kaumia. Turudi kwenye mpira kidogo.. timu zetu ni siasa sana kuliko uhalisia.. ukisikia sifa za yanga unaweza sema hata ije timu gani inafungwa tu na...
  3. MR. VIP

    FT :Yanga 2 Red Arrows 1 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?

    Upo sahihi aliepanga ratiba kama hakuingiliwa na msemaji badi aliboronga sana kwenye ratiba.. Tamasha kama tumetoka kwenye ukumbi wa harusi saa sita kasoro na usafiri tizi kinoma au ndo kuingia gharama za kuita uba na boda za 25000 kufika Mwenge?
  4. MR. VIP

    FT :Yanga 2 Red Arrows 1 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Mchezaji Gani Amekuvutia?

    Kama kwa mabadiliko ya timu nzima na spiriti ikashuka mpaka red card basi lazima tujitafakari sana kwenye michezo ijayo hasa klabu bingwa na baadhi ya ligi kuu. South Africa ni kama tulicheza na timu za daraja la chini kuondoa ile timu ya ujerumani FCA. Ndio maana ni kama tulilewa sifa kuwa...
  5. MR. VIP

    Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?

    Ikiwa ni sahihi kwa kibu kichwani mwake basi mpira wake umefika mwisho anatafuta pa kutolea lawama tu. Alimaliza mkataba akadengua akatongozwa akakubali kwa nini atoroke? Si ni bora angekataa kuongeza mkataba leo angekuwa free bila kinyongo na wadau? Hata cheza mpira kwa mgogoro huu ukijumlisha...
  6. MR. VIP

    Je, Baleke Aliihujumu Simba? Wachezaji Wa KiCongo Siyo Waaminifu

    Bhatu bha mkorogo sio wa kuwaamini kabisa.
  7. MR. VIP

    Dube na ndoa ya Wananchi

    Muda utaongea
  8. MR. VIP

    Sema kuna namna flani sahiv matapeli wamepungua eenh? au wamevumbua njia mpya??

    Wapo wengi na humu kijiweni wanatucheki tu tunavyo wajadili
  9. MR. VIP

    Yanga Wamejaza Washambuliaji Wengi Kuliko Wakabaji

    Upo sahihi hata simba yalimkuta haya Kipato uleta majisifu
  10. MR. VIP

    Chama Atamfukuzisha Kazi Gamondi Yanga

    Wao wanasema hawasumbuki watamfukuza oooohhooo