Walichelewa kumfukuza Gamondi.
Walilewa na matokeo mazuri waliokuwa wanapata yanga.
Gamondi hakuwa hakuwa na mbinu wala uwezo wa kuwatumia wachezaji boora waliopo yanga. Yaani kiufupi Gamondi level yae ni Pamba au dodoma jiji.
Hakuwai kuiandaa timu, timu iliandaliwa na Nabi yeye kadandia gari...
Mpira ndio ulivyo na matokeo ya mpira huwa katili sana kila mara.
Ukiona umefurahi wewe ujue kuna mwingine kwa matokeo yaliokufurahisha yeye kaumia.
Turudi kwenye mpira kidogo.. timu zetu ni siasa sana kuliko uhalisia.. ukisikia sifa za yanga unaweza sema hata ije timu gani inafungwa tu na...
Upo sahihi aliepanga ratiba kama hakuingiliwa na msemaji badi aliboronga sana kwenye ratiba..
Tamasha kama tumetoka kwenye ukumbi wa harusi saa sita kasoro na usafiri tizi kinoma au ndo kuingia gharama za kuita uba na boda za 25000 kufika Mwenge?
Kama kwa mabadiliko ya timu nzima na spiriti ikashuka mpaka red card basi lazima tujitafakari sana kwenye michezo ijayo hasa klabu bingwa na baadhi ya ligi kuu.
South Africa ni kama tulicheza na timu za daraja la chini kuondoa ile timu ya ujerumani FCA.
Ndio maana ni kama tulilewa sifa kuwa...
Ikiwa ni sahihi kwa kibu kichwani mwake basi mpira wake umefika mwisho anatafuta pa kutolea lawama tu.
Alimaliza mkataba akadengua akatongozwa akakubali kwa nini atoroke? Si ni bora angekataa kuongeza mkataba leo angekuwa free bila kinyongo na wadau?
Hata cheza mpira kwa mgogoro huu ukijumlisha...
Mwamba unaandika speed uelezi hoja yako kwani woote tulikuwa na wewe huko uwanja wa taifa??.
Eleza kisa ili wenggi wajue na kufatilia na kusaidia katika kuchangia mada hii inayoonekana nzuri isipokuwa mwandishi kaiandika akiwa anakimbizwa
Mwamba kachemka
Uchezaji na falsafa ya hii timu tofauti na alikotoka.
Yupo wapi skudu aliecheza huko kwao mechi nyingi mchezaji mzuri kaja kwetu kawa garasa!!!
Huku majeruhi usipate uwe kama mayele au KI AZIZ hapo utashainiii