Search results

  1. tototundu

    Daily Update: Ripoti ya siku Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)

    23 Disemba 2021 DSE's (@dsetanzania ) today, 23rd December 2021, Market highlights! - Total Equity turnover: TZS 1.29bln - Top gainer is for cross listed: NMG ⬆️8.11%
  2. tototundu

    Geita Gold FC walamba milioni 500

    Mgodi wa Uchimbaji Dhahabu wa Geita (GGM) umetoa kiasi cha shilingi milioni 500/= kuidhamini timu ya mpira wa miguu ya @geitagoldfc inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC ili kuiwezesha timu hiyo kufanya vizuri katika michuano hiyo.
  3. tototundu

    Simba Sports Club Thread

    #HABARI: Timu 15 kati 16 Ligi Kuu Tanzania Bara zakubali kuweka nembo ya GSM Tanzania Limited Mdhamini mwenza wa ligi kuu ya NBC. Simba pekee yagomea kuweka nembo hiyo.
  4. tototundu

    Website za prediction

    Una link yake tuione?
  5. tototundu

    Orodha ya makampuni ya betting Tanzania.

    Aje aje wana kijiwe? Tanzania kumekuwa na ongezeko la makampuni mengi ya betting. Makampuni haya yapo yanayofanya kazi mtandaoni, na yale ya vibanda mkeka wa karatasi mrefuuuu kama korido ya Muhimbili. Sasa hapa nimeweka makampuni ya hapa Bongo, ongeza nililosahau wadau walijaribu. 1...
  6. tototundu

    Unatumia kampuni gani kubeti?

    Mambo vipi wazee wa kijiwe
  7. tototundu

    Orodha ya Makampuni gani yanayouza hisa Tanzania

    Company Trading Code Link 1 CRDB View Profile 2 DCB View Profile 3 DSE View Profile 4 EABL View Profile 5 JATU View Profile 6 JHL View Profile 7 KA View Profile 8 KCB View Profile 9 MBP View Profile 10 MCB View Profile 11 MKCB View Profile 12 MUCOB View Profile 13...
  8. tototundu

    Madalali wa soko la hisa la Dar es Salaam

    Madalali wa soko la hisa kwa sasa idadi yao ni 6 na wote wapo Dar es Salaam. Lakini, kutokana na kukua kwa teknologia na utumiaji wa mawakala, wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali za nchi wanaweza kupata huduma ya madalali bila kulazimika kuja Dar es Salaam. Ni kweli wawekezaji walio nje ya Dar...
  9. tototundu

    Lijue Soko la Hisa la Dar-es-Salaam (DSE) na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA)

    Soko la Hisa ni soko ambalo huwezesha hisa, hatifungani na dhamana zingine zilizoorodheshwa katika soko hilo kuuzwa na kununuliwa. Bidhaa hizi huitwa dhamana au kwa lugha ya kigeni (securities). Soko la hisa hapa Tanzania limeanzishwa mwaka 1996 kama kampuni binafsi yenye dhima (limited by...
  10. tototundu

    Jinsi ya kununua au kuuza hisa.

    Kama unataka kununua hisa ambazo zinauzwa kwa mara ya kwanza (IPO) kuna mawakala maalum ambao huwa wamepewa wajibu wa kuuza hisa kwenye soko la awali. Mwekezaji anatakiwa kujaza fomu ya maombi na kukabidhi pesa kwa wakala kulingana na idadi ya hisa anazotaka kununua na atapewa stakabadhi pamoja...
  11. tototundu

    Ni nini faida ya kuwekeza kwenye hisa, hatifungani na vipande?

    Kwa ujumla dhamana za fedha (hisa, hatifungani, vipande) ni rasilimali ambazo zinagawanyika na ni rahisi kuziuza kwa kiurahisi. Kutokana na 3 urahisi huo, dhamana zinaweza kuwekwa rehani kwa ajili ya kupata mkopo kutoka taasisi za fedha. Wawekezaji kwenye hisa wanapata gawio ikiwa kampuni...
  12. tototundu

    Zijue hisa, hatifungani na vipande.

    1. Hisa ni nini? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 10,000, mwekezaji huyu anamiliki 1% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya kumiliki...
  13. tototundu

    SHERIA NA KANUNI ZA KIJIWE (TAFADHALI SOMA KABLA YA KUENDELEA)

    Kijiwe hiki ni cha majadiliano ya jumla ya mambo yote ya Crypto. Tafadhali zingatia Kanuni zifuatazo. Haturuhusu majadiliano yoyote ya KISIASA au PORNO. Post itaondolewa haraka Affiliate links haziruhusiwi. Post itaondolewa haraka Habari na maoni juu ya habari yanakaribishwa sana. Utangazaji...
  14. tototundu

    Sheria na Kanuni za Kijiwe (Tafadhali soma kabla ya kuendelea)

    Kijiwe hiki ni cha majadiliano ya jumla ya mambo yote ya Crypto. Tafadhali zingatia Kanuni zifuatazo. Haturuhusu majadiliano yoyote ya KISIASA au PORNO. Post itaondolewa haraka Affiliate links haziruhusiwi. Post itaondolewa haraka Habari na maoni juu ya habari yanakaribishwa sana. Utangazaji wa...
  15. tototundu

    SHERIA NA KANUNI ZA KIJIWE (TAFADHALI SOMA KABLA YA KUENDELEA)

    Kijiwe hiki ni cha majadiliano ya jumla ya mambo yote ya Crypto. Tafadhali zingatia Kanuni zifuatazo. Haturuhusu majadiliano yoyote ya KISIASA au PORNO. Post itaondolewa haraka Affiliate links haziruhusiwi. Post itaondolewa haraka Habari na maoni juu ya habari yanakaribishwa sana. Utangazaji wa...
  16. tototundu

  17. tototundu

  18. tototundu