Search results

  1. M

    Manchester United

    ERIK TEN HAG KOCHA MPYA MAN UNITED KLABU ya Manchester United imemuajiri Erik ten Hag kama kocha wake Mkuu mpya wa tano ndani ya miaka tisa, Mholanzi atajiunga na Mashetani Wekundu baada ya kumaliza majukumu yake Ajax mwishoni mwa msimu. Ten Hag amesaini mkataba wa hadi 2025 jukumu lake kubwa...
  2. M

    KIMATAIFA

    Orlando Pirates Wataja Siku ya Kutua Nchini Alhamisi kwa Ajili ya Kuwawinda Simba UONGOZI wa klabu ya Orlando Pirates umeweka wazi kuwa utatua nchini Alhamisi au Ijumaa tayari kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba...
  3. M

    KIMATAIFA

    Kocha Brazil Atimuliwa Kazi Baada ya Kumpiga Kichwa Mwamuzi wa Kike Meneja wa Desportivo Rafael Soriano akimpiga kichwa mwamuzi wa kike Marcielly Netto KOCHA wa Klabu ya Desportivo Ferroviaria inayoshiriki daraja la tano nchini Brazil Rafael Soriano ametimuliwa kazi baada ya kumpiga kicwa...
  4. M

    Simba Sports Club Thread

    Simba Yapiga Marufuku Mashabiki Kupiga Tochi Mechi dhidi ya Orlando Pirates April 11, 2022 by cshechambo Shabiki wa klabu ya Simba akimulika tochi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USGN uwanja wa Benjamin Mkapa. UONGOZI wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC...
  5. M

    Kombe la Shirikisho barani Afrika

    Beki Tegemeo wa Orlando Pirates Apata Ajali Mbaya, Akimbizwa Hospitalini Beki wa Kushoto wa Klabu ya Orlando Pirates Paseka Mako amepelekwa hospitali baada ya kuumia uwanjani BEKI wa Orlando Pirates, Paseka Mako alikimbizwa Hospitali kupewa huduma jana Aprili 12 baada ya kupata majeraha...
  6. M

    UEFA Champions League

    Ratiba ya mechi za leo za Uefa Champions League Real Madrid vs. Chelsea (Agg 3-1) Fc Bayern Munich vs Villarreal (Agg 0-1) Mechi zote ni saa 4:00 usiku...
  7. M

    Manchester United

    SAKATA LA RONALDO KUBAMIZA SIMU YA SHABIKI Licha ya nyota wa Man Utd Cristiano Ronaldo kuomba msahama kwa kitendo cha kuibamiza chini simu ya bwana Mdogo Jake (14) wakati wa mchezo wa EPL dhidi ya Everton, mama wa mtoto huyo Sarah Kelly aukosoa msamaha huo "Msamaha ndio ulinikasirisha zaidi...
  8. M

    Manchester United

    Kocha Erik ten Hag anataka kuhakikishiwa kama atakuwa na nguvu ya kusajili, nguvu ya maamuzi ya wachezaji watakaoongeza mikataba au kuuzwa pamoja na kupewa muda wa kutosha kuandaa timu yenye ushindani kabla ya kufanya maamuzi ya kujiunga na Manchester United Chanzo: Fabrizio Romano
  9. M

    USAJILI.

    Klabu ya ManCity ipo tayari kumlipa mshahara wa €30m ( Tsh Bilioni 75. kwa mwaka mshambuliaji wa Dortmund Erling Haaland ili ajiunge nao ifikapo mwishoni mwa msimu huu Imeelezwa kuwa Man City pia wamepanga kulipa kiasi cha €75m (Tsh Bilioni 189.4) kama ada ya uhamisho wake pamoja na €70 (Tsh...
  10. M

    CHELSEA

    OFFICIAL: Klabu ya Chelsea imethibitisha kuwa mshambuliaji wao Romelu Lukaku atakosa mechi ya Marudiano ya Uefa Champions League dhidi ya Real Madrid kutokana na majeraha yanayomkabili
  11. M

    Barcelona.

    FULL TIME Levante 2-3 Fc Barcelona Vijana wa Xavi Hernandez hawapoi
  12. M

    Barcelona.

    Fc Barcelona hawajapoteza mechi 15 mfululizo za La Liga Xavi Hernandez
  13. M

    KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.

    YANGA YAENDA KUISUBIRI SIMBA NUSU FAINALI ASFC VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa penalti 7-6 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini...
  14. M

    KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.

    COASTAL NAYO YATINGA NUSU FAINALI ASFC KWA MATUTA WENYEJI, Coastal Union wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 leo Uwanja wa...
  15. M

    Simba Sports Club Thread

    SIMBA NA ORLANDO KUSINDIKIZWA NA QURAN TUKUFU JUMAPILI MECHI ya kwanza ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya wenyeji, Simba SC na Orlando Pirates ya Afrika Kusini itafanyika sambamba na mashindano ya Quran Jumapili ijayo. Hayo yamesemwa na Meneja Habari na Mawasiliano wa...
  16. M

    KOMBE LA DUNIA 2022. (QATAR)

    Refa 'wa Simba' aula Kombe la Dunia Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limemtetua refa Jean Jacques Ndala Ngambo kwtika orodha ya awali ya waamuzi wa kati kwa ajili ya kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia baadaye mwaka huu. Refa huyo kutoka Jamhuri ya DR Congo alizua mjadala...
  17. M

    UEFA Europa League

    Timu ya Taifa ya Brazil imepanga kumuajiri Pep Guardiola kama kocha wao mkuu mara baada ya michuano ya Kombe la Dunia 2022
  18. M

    UEFA Europa League

    FULL TIME RB Leipzig 1-1 Atalanta Braga 1-0 Rangers Frankfurt 1-1 Barcelona West Ham 1-1 Lyon =AZUeTaWk4APH7fNAdJnOHllmjxpvn5yo0jTJ73048DNfQQlUkWFkt0esdorDIMHjL43GXS_NY0YfNXT66C7nm2yzsHeJqMBSdeqQjV5SL-tE5PT5IhmARfCkC2G0A4gQ5egP3LK-fvWZuq7ZTJ7lb1yL&__tn__=*NK-R']#EuropaLeague...
  19. M

    USAJILI.

    Robert Lewandowski (33) anahitaji mkataba wa miaka mitatu na mshahara wa €8m kwa mwaka ili aweze kujiunga na Fc Barcelona ifikapo mwishoni mwa msimu huu. Imeelezwa kuwa Nyota huyo ambaye mkataba wake na Bayern unamalizika mwakani 2023, amefikia hatua nzuri ya mazungumzo na Wawakilishi wa Barça...
  20. M

    AZAM SC

    MAZOEZI YA MWISHO AZAM FC KUIVAA YANGA KESHO WACHEZAJI wa Azam FC wakiwa mazoezini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC kesho Saa 1:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.