Kama walijua mambo kama haya yatatokea wana simba kwanini hawakukaza ili wamalize hata nafasi ya kwanza, unajua simba ni kama Arsenal mtu ana nafasi alf akiipoteza kwa makosa ya mechi mbili anaanza kuombea njaa wenzie kitu ambacho kwa mabingwa ni aibuu. Alaf sasa hiv mpira umekua sana kwa...