Japo kubaki au kuondoka ni maamuzi ya mchezaji mwenyew. Kwa maoni yangu aondoke tu kwa  sababu Simba SC ya sasa ni tia maji tia maji,,,,inaua carrier za wachezaji. So, kama anataka kung’ara zaidi  aende timu ambayo haina ubabaishaji kama Simba SC kwa sasa.