Search results

  1. E

    Tanzania yachaguliwa kuwa chuo cha mafunzo ya VAR

    Vivaaa,,, soka limeitika Bongo ndo maana wameichagua.
  2. E

    Hizi Hapa Timu 16 Zitazokiwasha Kagame Cup 2024

    Kila la kheri Simba Sports Club kuelekea michuano ya Kagame cup,,,
  3. E

    Wanasimba Kauli ya CADENA Mmeichukuliaje?

    Robertinho kavuna alichopanda
  4. E

    Mfahamu Tajiri Mpya barani Asia

    Someni sanaaaaa afu mje mtaani kubeti na kucheza madubu ya mchina. Huku A University dropout became the most wealthy person in Asia currently,,,there is something to learn here. If we don’t take risk, we will work for someone who does.
  5. E

    Kwa Yanayoendelea Mtandaoni Kuhusu SIMBA Wewe Maoni Yako Ni Yapi?

    Sahihi kabisa ,,,impact yao tumeiona so hawana hadhi ya kuiongoza Simba SC. Wababaishaji hawa, kama vipi wapite hiviii,,,we need real and genuine leaders for sustainable development in this Institution
  6. E

    Kwa Yanayoendelea Mtandaoni Kuhusu SIMBA Wewe Maoni Yako Ni Yapi?

    Sahihi kabisa ,,,impact yao tumeiona so hawana hadhi ya kuiongoza Simba SC. Wababaishaji hawa, kama vipi wapite hiviii,,,we need real and genuine leaders for sustainable development in this Institution.
  7. E

    Wababe 19 wa Afrika walioshindwa kukata tiketi ya kushiriki michuano ya CAFCL

    Haya ndo mapinduzi ya Soka Afrika. Inapendeza kuona timu zingine zikiibukia CAF Champions League kuliko timu zile zile kila mwaka. Hapa ndo tunapata kadha ya mpira wa miguu na pia profiles za wachezaji na timu zingine kukua.
  8. E

    Kwa nini Simba wanatoa beki kisiki inonga baka

    Japo kubaki au kuondoka ni maamuzi ya mchezaji mwenyew. Kwa maoni yangu aondoke tu kwa sababu Simba SC ya sasa ni tia maji tia maji,,,,inaua carrier za wachezaji. So, kama anataka kung’ara zaidi aende timu ambayo haina ubabaishaji kama Simba SC kwa sasa.
  9. E

    Azam vs Yanga Kupigwa Zanzibar TFF Mmezingua

    Kabla hamjatangaza mkoa wa Manyara kuhost fainali ya FA cup hamkujiridhisha na utayari wao?
  10. E

    Azam vs Yanga Kupigwa Zanzibar TFF Mmezingua

    Nina sawali kaa TFF,,,kabla hamjatangaza mkoa wa Manyara kuhos final ya FA cup,,,hamjajiridhisha na utayari wao??
  11. E

    Umeuonaje Mchezo? Azam 0️⃣ Simba Sc 3️⃣

    Hii ndo maana halisi ya ushindani. Haijaisha mpaka iishe.