Search results

  1. S

    FT : Yanga SC 5 Fountain Gate FC 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

    FURAHA iliyopo itaenda kuotea Kila tukiwakumbusha Kuna caf champions league๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  2. S

    Simba Sc vs Tabora United : Panga Kikosi Cha Timu Unayoishabikia Na Matokeo Ya Mchezo

    1 camara 2 kelvin kijili 3 Mohamed hussein 4 carabou chamou 5 che malon 6 okejepha 7 balua 8 Debora Fernandez 9 Lionel ateba 10 jean Charles ahoua 11 mutale
  3. S

    Ipi Ni TOP FIVE (5) Yako NBC PL 2024/2025?

    Simba Singida Azam Coastal union Dodoma jiji
  4. S

    Mkeka Wa Leo Ijumaa 26/07/2024 Odds 4 Za Kuanza Wikiendi Na Kibunda

    Hivi mikeka ya HUMU inatiki sijawah familia๐Ÿค”๐Ÿค”
  5. S

    Simba wakimpa Thank you CHAMA ndo nitaamini wako Serious na Mabadiliko

    Huyo ni mwana yanga huyo Hana nia nzurii na sisi tushamshitukia๐Ÿ˜‚
  6. S

    Simba wakimpa Thank you CHAMA ndo nitaamini wako Serious na Mabadiliko

    Huyo ni maana yanga Hana nia mzuri na sisi tushamshtukia
  7. S

    Kuhusu Lameck Lawi Tuwaamini SIMBA au COASTAL UNION?

    Yani simba sijui tatizo lipo wapi ,,wanasajili wachezaji wa ndani wenye UWEZO wanakuja kukaa benchi na kuwaamini sana wachezaji wa kigeni wasio na UWEZO๐Ÿ™„๐Ÿ™„ kama kina JOBE ๐Ÿ˜‚
  8. S

    Zambia 0 Tanzania 1 Mchezaji Gani Amekuvutia Katika Mchezo Huu?

    Ally Salim tokea utotoni namjua mwanangu Sanaa yulee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™
  9. S

    Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025?

    Mimi ningekula pesa tu tunaongea Kwa sababu hatujakaka karibu na pesa nyingi tumbo kwanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  10. S

    Kukatwa Alama Kisa Ushirikina Ligi Kuu Umeipokeaje?

    Kama uchawi ungekua na nguvu Nigeria angechukua KOMBE la Dunia ๐Ÿ˜‚ ni watu tu kuamini ushirikina na kupata hofu ndio inapelekea kupoteza matokeo๐Ÿ˜‡
  11. S

    KIJIWENI Kwenu Timu Yenu Ya NDONDO Inaitwaje?

    Watoto wa kitunda tumaini๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ mabishoo fc na wala mihogo fc iyo ni zaidi ya Derby kuwahi kutokea๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  12. S

    Wachezaji Ligi Kuu Tanzania Bara Wanaolipwa Pesa Ndefu

    Saido wangempa hata laki 2 inamtosha Hana anachofqnya Babu yulee๐Ÿ˜‚