Search results

  1. S

    Utabiri Man city vs Arsenal FA

    Wakati Arsenal na Manchester City zikipigania taji la Ligi ya Premia, mchezo wao wa kurushiana maneno unaenea hadi katika mashindano ya ndani ya mtoano huku timu hizo mbili zikimenyana kwenye Uwanja wa Etihad katika raundi ya nne ya Kombe la FA. The Gunners wana pointi tano kileleni mwa...
  2. S

    Mechi ya kirafiki Namungo vs Al Hilal

    Wakipige kweny mashindano sasa wanakuwa kam sio wao vile. Huyo makabi lilepo akishika mpira,mnafunga macho mnamuachia Mungu na kipa😂 Enewei Hongera sana kwa Namungo walioifunga timu iliyomshinda Yanga Namungo 1-0 Al Hilal
  3. S

    Tubeti

  4. S

    Wachezaji wa Man United waliopo kwenye Record na waliopanda viwango na waliobakia palepale chini ya ETH mpaka sasa

    Antony ni talanted ila akiwa na maamuz ya haraka akiacha na show game bonge moja la winga... Kuna kipind cha awali Vincious Jr alikuwa hv hv ila akili ilikua akawa anapga kazi za kiume mpaka leo amekua mtu hatari..
  5. S

    Tubeti

  6. S

    Man United leo tulizidiwa kwa sehemu na Arsenal wamesatahili Pointi 3 muhimu

    Fred alipoingia alisaidia sana kwenye kukaba vinginevyo mambo yangekuwa makubwa. Eriksen kwangu mm ndo aliuwasha kuliko mchezaji yeyote wa Man U siku hiyo. Na alionesha uhai kuliko ata Bruno na wengineo apo kati kwenda mbele. Sub ilitakiwa atoke Vegost aingie Ganacho, Kisha Rashford aende kati...
  7. S

    Yanga inachukua pointi tatu kwa tabu sana

    Winga hatuna kbs moloko na kisinda hamna kazi
  8. S

    Madrid tunaelekea Champions ligi kwa hali hii tuliyo nayo sasa?

    kuna siku Hazard atachezeshwa DM kisa Kroos,Valverde na Tcho wameumia nyie 😂
  9. S

    Yanga vs Ihefu 1-0 Kilichojiri kwa mkapa

    Mchezo ulikua mgumu kwa Yanga kwasababu ya ukosefu wa baadhi ya wachezaji muhimu. Kikosi kilikua hakina Azizi KI, Morrison, Bangala, Aucho yani key players hawapo lakini timu inashinda tena inakamiwa na kupata ushindi kwa tabu sana. Wachezaji wasipokuwepo wanampa Nabi mzigo mkubwa hebu...
  10. S

    Usajili wa Simba na Yanga dirisha dogo

    Yanga imemsajili Mshambiliaji kutoka zambia Kennedy Musonda. Yanga walihitaji mshambiliaji wakuongeza nguvu pale mbele, amecheza mashindano ya kimataifa ni usajili sahihi wanahitaji kuwa serious hasa kwenye mashindano makubwa, Musonda ataleta mtazamo chanya kwenye timu kama akionesha ule uwezo...
  11. S

    Keka la leo

    4M156 1xbet
  12. S

    Hatimae Chelsea kapata ushindi leo baada ya match msoto mkali dhidi ya Crystal Palace 1-0

    Bao la kipindi cha pili kutoka kwa Kai Havertz lilitosha kuipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye Ligi ya Premia Jumapili, na hivyo kupunguza shinikizo kwa meneja Graham Potter baada ya matokeo mabaya. Kai aliunganisha kwa kichwa krosi ya Hakim Ziyech dakika ya 65 kufuatia...
  13. S

    Pigo jingine tena baya kwa Chelsea wanapoteza pointi 3 mbele ya Fulham

    Hapa hatuna kocha na sijui tunasubiri nini mpaka sasa
  14. S

    Chelsea ina msiba mkubwa sana lakini bado inahitaji kocha

    Wachezaji wengi wakumbwa na majeraha ndani ya timu karibu wachezaji 7 wanaoanza kwenye kikosi wote wamepata majeraha ni zaidi ya msiba ndani ya timu, lakini sio dsababu yakusajili wachezaji wengi kila siku while hatujapata kocha mwenye uweZo wakucontrol jao wachezaji kocha huyu ndo tunamtegemea...
  15. S

    Manchester City iliishinda Chelsea kwa mara ya pili ndani ya siku nne kwa ushindi wa 4-0 katika raundi ya tatu ya Kombe la FA

    Hii timu inatia aibu hata uwezi itetea huyu kocha hamna kitu anazidi kutupoteza tu
  16. S

    Azam wamefukuzwa Mapinduzi Cup na SBS

    Acha wapunguzwe makali wametuvuga sana