Search results

  1. E

    Takwimu Za Simba Na Yanga Misimu 5 Iliyopita | Nani Unamuona Akishinda Mchezo Wa Dabi Tarehe 19?

    Yanga anafungwa hii gemu. Sababu ntawaambia baada ya Yanga kufungwa.
  2. E

    Umelioanje Kundi Alilopangwa Yanga? Una Maoni Gani Mwana Kijiweni?

    Naona hamuwapi nafasi USM Alger,,,but nafasi ya Yanga kupenyeza hapa ni ndogo sn,,,inahitajika dua na juhudi.
  3. E

    Mchezaji Gani Ulitamani Kumuona Kwenye Kikosi Hiki Cha Taifa Stars?

    Sa kwann kocha kamwacha Balua au ndo nn yaan
  4. E

    Mchezaji Gani Ulitamani Kumuona Kwenye Kikosi Hiki Cha Taifa Stars?

    Balua vp tena au kocha kaamua kufany rotation
  5. E

    Hizi Hapa Timu Zote Zilizofuzu Hatua Ya Makundi LIGI YA MABINGWA AFRIKA Pamoja Na KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    Itapendeza Simba SC akawa bingwa wa kombe la shirikisho Africa, na Yanga akawa bingwa kombe la klabu bingwa Africa.Afu tukutane kwenye CAF Super Cup.
  6. E

    FT : Azam FC 0 Simba SC 2 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Huyu Christiano Lionel Ateba hakai SSC muda mrefu,,,tutakuja kumwona kwenye ligi kubwa duniani I.e EPL, LaLIA, BUNDESLIGA, SERIE A, LEAGUE 1 and the like,,,kama wataweka focus na vision, consistency, tolerance.
  7. E

    Hizi Hapa Timu Zote Zilizofuzu Hatua Ya Makundi LIGI YA MABINGWA AFRIKA Pamoja Na KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    Simba bingwa kombe la shirikisho. Upande wa Champions league bingwa ni Tp Mazembe.
  8. E

    FT : KenGold 0 Yanga SC 1 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa Kijiweni?

    Ilikuw chupu chupu yanga apoteze pointi tatu.
  9. E

    FT: Simba SC 3 Al Ahli Tripoli 1 | Umeuonaje Mchezo Huu? Una Lipi la Kuzungumza Kuelekea Makundi ?

    Kiujumla refa aliharibu lash’s ya mchezo. Katunyima goli la wazi kbs la Ateba, Prnalti na rafu mbaya alochezewa mchezaji wa Simba SC but mnyama kaonesha ukomavu wake na kuprove wrong kila mtu. Bravo πŸ¦πŸ¦πŸ‘πŸ‘πŸ‘β€οΈβ€οΈ
  10. E

    FT : Yanga SC 6 CBE SA 0 | Umeona Kitu Gani Leo? Unadhani Kuelekea Makundi Klabu Ya Yanga Wanatakiwa Kurekebisha kitu Gani?

    Wawe na mwendelezo wa hili walilofanya kufikia malengo yao waliyojiwekea. Bado safari ni ndefu sana.
  11. E

    Gharama za Kutumia Uwanja Wa KMC COMPLEX

    Admin tupia na gharama za New Amani Complex please.
  12. E

    Gharama za Kutumia Uwanja Wa KMC COMPLEX

    Wacha watoboke,,, si hawataki kujenga viwanja vyao??