Search results

  1. E

    Muda wa Che Malone kukaa bench umefika

    Naunga mkono hoja,,,nadhani fatigue pia imechangia coz amecheza mechi nyingi bila kupumzika
  2. E

    FT : Simba SC 2 KenGold 0 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Tuliamua kucheza vile makusudi
  3. E

    Simba Kuwajibika Uharibifu Wa Viti Kwa Mkapa ,Umeipokeaje Taarifa Hii?

    Vipi kuhusu wale waarabu walioanzisha fujo? Mbona serikali haijatoa tamko au wanawaogopa waarabu?
  4. E

    FT : Simba SC 2 CS Sfaxien 1 | Umeuonaje Mchezo Mwana Kijiweni?

    Tukiendelea hivi halinitakuwa mbaya huko mbeleleni,,,rubadilike
  5. E

    FT : Simba SC 2 CS Sfaxien 1 | Umeuonaje Mchezo Mwana Kijiweni?

    Simba Kiwango kimeshuka sn,,,tumebahatisha ushindi
  6. E

    FT : MC Alger 2 Yanga SC 0 | Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Hatariii,,, mtapigwa san tu mpaka mshike adhabu
  7. E

    Yanga Kuachana Na GAMONDI Una Lipi La Kuzungumza Mwana KIJIWENI?

    Hii ndo tofauti ya Ulaya na Afrika. Yanga wamekurupuka kuachana na Gamondi. Walitakiwa kumpa hata mechi mbili,,,Huko England MAN CITY kafungwa mechi nne in a row but still wako na imani naye. Huku ndo kufanya mambo kwa mihemko na hisia kuliko UHALISIA.Watapotena kabisa,,,but ndo tabia ya maisha...
  8. E

    Waraka Wangu Kwa GAMONDI Na Injinia Hersi Nisikuchoshe Na Usinichoshe, Tusichoshane

    Yanga shida yenu ni COMFORT ZONE. Sasa kuleni mimavi yake,,, mlikuw mnasumbua sana mtaan, saiv mnajificha ficha kama mbwa walioiba mayai, afu akalambwa mboko,,, sasa ndo mtajua nini maana ya VISION na FOCUS,,, fanyeni mambo kwa UHALISIA, na siyo HISIA mtafika mbali.Kwa saivi tuacheni sisi Simba...
  9. E

    Waraka Wangu Kwa GAMONDI Na Injinia Hersi Nisikuchoshe Na Usinichoshe, Tusichoshane

    Hebu pisheni huko,,,,mda wenu umeishaa nyie utopolo
  10. E

    FT : Yanga SC 0 Azam FC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa DABI Ya Dar Es Salaam? Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Utopolo wameisha rasmi. Ukiangalia kwa jicho la tatu,,, Aziz Ki, Chama,Aucho, Dube, Musonda, Mwamnyeto,,, wafyekwe tu dirisha dogo,,, otherwise, mtamaliza nafasi ya kumi. Afu Kibwana Shomari, Faridi Musa, Denis Nkane, watafute timu zingine,,,, mnawadumaza kwa kuwakalisha benchi.
  11. E

    Nafasi Ipi Kwenye Klabu Unayoishabikia Ligi Kuu Ya NBC Unatamani Dirisha Dogo Apunguzwe Mtu Na Asajiliwe Mwingine?

    Manula, Abel, Mzamiru, Mutale, Karabaka, Hussein Kazi,,,tunawashukuru sana kwa mchango wenu mkubwa sana. Mtafute changamoto nyingine kwingine.
  12. E

    FT : Mashujaa FC 0 Simba Sc 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Mechi nzuri sema hizi timu ndogo zinakamia sana ikikutanaam na Simba Cox wanajua ndo fainali yao. But mwisho wa siku sokwe kaliwa.