Search results

  1. E

    Eti Wana Kijiweni Kwanini Ni Simba vs Yanga Na Sio Yanga vs Simba

    Simba ndo Mwenyenchi, Yanga ndo Mwananchi. Hapo jiongeze sasa maelezo yaliyo baki.
  2. E

    Eti Wana Kijiweni Kwanini Ni Simba vs Yanga Na Sio Yanga vs Simba

    Jiulize kati ya Mwenyenchi SIMBA SC🦁 na Mwananchi Yanga Sc🐸, nani mkubwa?? Mwananchi ni mtoto wa Mwenyenchi.
  3. E

    Takwimu Za Simba Na Yanga Misimu 5 Iliyopita | Nani Unamuona Akishinda Mchezo Wa Dabi Tarehe 19?

    Yanga anafungwa hii gemu. Sababu ntawaambia baada ya Yanga kufungwa.
  4. E

    Umelioanje Kundi Alilopangwa Yanga? Una Maoni Gani Mwana Kijiweni?

    Naona hamuwapi nafasi USM Alger,,,but nafasi ya Yanga kupenyeza hapa ni ndogo sn,,,inahitajika dua na juhudi.
  5. E

    Mchezaji Gani Ulitamani Kumuona Kwenye Kikosi Hiki Cha Taifa Stars?

    Sa kwann kocha kamwacha Balua au ndo nn yaan
  6. E

    Mchezaji Gani Ulitamani Kumuona Kwenye Kikosi Hiki Cha Taifa Stars?

    Balua vp tena au kocha kaamua kufany rotation
  7. E

    Hizi Hapa Timu Zote Zilizofuzu Hatua Ya Makundi LIGI YA MABINGWA AFRIKA Pamoja Na KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    Itapendeza Simba SC akawa bingwa wa kombe la shirikisho Africa, na Yanga akawa bingwa kombe la klabu bingwa Africa.Afu tukutane kwenye CAF Super Cup.
  8. E

    FT : Azam FC 0 Simba SC 2 : Umeuonaje Mchezo Wa Leo? Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Huyu Christiano Lionel Ateba hakai SSC muda mrefu,,,tutakuja kumwona kwenye ligi kubwa duniani I.e EPL, LaLIA, BUNDESLIGA, SERIE A, LEAGUE 1 and the like,,,kama wataweka focus na vision, consistency, tolerance.
  9. E

    Hizi Hapa Timu Zote Zilizofuzu Hatua Ya Makundi LIGI YA MABINGWA AFRIKA Pamoja Na KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    Simba bingwa kombe la shirikisho. Upande wa Champions league bingwa ni Tp Mazembe.
  10. E

    FT : KenGold 0 Yanga SC 1 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa Kijiweni?

    Ilikuw chupu chupu yanga apoteze pointi tatu.