Kiujumla refa aliharibu lashβs ya mchezo. Katunyima goli la wazi kbs la Ateba, Prnalti na rafu mbaya alochezewa mchezaji wa Simba SC but mnyama kaonesha ukomavu wake na kuprove wrong kila mtu. Bravo π¦π¦πππβ€οΈβ€οΈ
Huyu Jean Charles Ahoua ni level nyingine kabisa. Naomba muongeze juhudi zaidi, na muwe na consistence for real mtavuka lengo mwaka huu.π¦ππ₯ππππΉπΏπΉπΏ
Kuanzia hapa tumeshafeli, kama hawatabadilisha,,,,ligi tunamalizia nafasi ya kumi.Mnaleta usanii katika mambo ya serious, ndo maana Kibu kawatoroka ameona mbali.
Neno SANDA alitoe,,,hii ni kejeli wa watani wetu, yaan hapa tutatukanwa hadi tukome,,,in short hilo neno litafanya watu wasipende kuvaa hadharani hiyo jezi kwa sabu ni kama linamaanisha kitu kingine kabisa,,,nimekwazika for real.