Search results

  1. E

    FT : Simba SC 4 Fountain Gate FC 0 | Mna Lipi La Kusema Wekundu Wa Kijiweni?

    Huyu Jean Charles Ahoua ni level nyingine kabisa. Naomba muongeze juhudi zaidi, na muwe na consistence for real mtavuka lengo mwaka huu.🦁🏆🥇🎉🎈🎉🇹🇿🇹🇿
  2. E

    SIMBA SC Na Azam, Kuna Kitu Yanga Anawafundisha Lakini Hamuelewi. Mpira Hauna Shortcut

    Yaani shabiki yoyote wa Yanga asitambe kihivo. Anguko la Simba hata haijafikia robo ya anguko la Yanga ya kibakuli. We are not so far as
  3. E

    Rekodi Za Leonel Ateba Mshambuliaji Mpya Wa Klabu Ya Simba

    Christian Lionel Ateba namwona anaipeleka Simba SC kwenye kilele cha mafanikio.
  4. E

    Hii Kauli Ya AHMED ALLY Mmeipokeaje Wana SIMBA? Mnakubaliana Nae?

    Ifike muda matendo yaongee zaidi kuliko maneno. Sisi tunataka impact ya usajili uliofanyika. Mbwembwe zingine ni just rubbish.
  5. E

    Rekodi Za Leonel Ateba Mshambuliaji Mpya Wa Klabu Ya Simba

    Ni wazi kuwa Ayoub Lakred ana bye bye.
  6. E

    Performance nzuri ya Simba kwenye derby ya 8/8/2024 haiifanyi Simba kuchukua taji lolote msimu huu, labda misimu miwili mbeleni

    Tuwape mda,,,wafanyie kazi makosa walioona kwenye mechi ya APR na ya Yanga.Watafanya vizuri wakubali critics na kuzifanyia kazi.
  7. E

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba SC

    Una UMEMISI KUKANDWA WEW SO BURE COZ SIYO KWA POVU HILI.
  8. E

    Jezi Mpya Za Klabu Ya SIMBA 2024/2025 Ipi Imekuvutia?

    Kuanzia hapa tumeshafeli, kama hawatabadilisha,,,,ligi tunamalizia nafasi ya kumi.Mnaleta usanii katika mambo ya serious, ndo maana Kibu kawatoroka ameona mbali.
  9. E

    Jezi Mpya Za Klabu Ya SIMBA 2024/2025 Ipi Imekuvutia?

    Jezi nzuri sana ila ndo SANDA limenikwaza sana,,,siyo kila jina au neo ukilifupisha linavutia duh,,,,💔💔💔💔👎👎👎👎👎👎👎
  10. E

    Jezi Mpya Za Klabu Ya SIMBA 2024/2025 Ipi Imekuvutia?

    Hii jezi haitauzika kwa sabu ya neno SANDA tu ukivaa unatukanwa eti umevaa SANDA. Duh binafsi sivai.
  11. E

    Jezi Mpya Za Klabu Ya SIMBA 2024/2025 Ipi Imekuvutia?

    Neno SANDA alitoe,,,hii ni kejeli wa watani wetu, yaan hapa tutatukanwa hadi tukome,,,in short hilo neno litafanya watu wasipende kuvaa hadharani hiyo jezi kwa sabu ni kama linamaanisha kitu kingine kabisa,,,nimekwazika for real.
  12. E

    Jezi Mpya Za Klabu Ya SIMBA 2024/2025 Ipi Imekuvutia?

    Jezi zote zipo Powerful ila Sandaland kazingua,,,sasa hilo neno SANDA ndo nini? Anashusha brand yake kaa kweli,,,
  13. E

    KIBU DENIS Uko Wapi? Au Kuna Lingine Hatulijui?

    Atakuwa sehemu flani akijifua maana ki I go bongo bongo kujifua kuna maana nyingi ili utoboe.
  14. E

    Maajabu ya Chama wa Simba na Chama wa Yanga

    Sisi watanzania ni washamba sana, akili/ufahamu finyu,,,no explosure, hatujiamini,tumejaa hofu, hatuna vision na wala hatuna focus na tumejaa COMFORT ZONE ktk kila nyanja ya maisha. Ndo maana tunapelekeshwa na tunapelkesheka kirahisi kwny mambo mengi.Wachache watatoboa,,,😢😢💔💔💔💔
  15. E

    Simba SC Inasajili Kwa Matokeo Endelevu Na Ya Mafanikio Kwa Miaka Mingi Ijayo

    Kweli kabisa,,, sajili zote ni vijana wenye umri wa kucheza mda mrefu, siyo kama wale wa upande mwingine wanaosajili mabaki yetu.
  16. E

    Simba Inaenda Kurudisha Hadhi Na Msisimko Wa Kombe La CAF Shirikisho

    Simba baba lao aisee,,,katika timu zote za Tanzania Simba ndo timu pekee inayoanza hatua ya pili,,,wengine wote wanaanza pre liminary stage,,,,Waooow waooow waooow🦁🦁🦁🦁🐮
  17. E

    Dube na ndoa ya Wananchi

    Yanga kumsajili Dube wamechemka kabisa.Mchezaji yupo hapa kwa misimu mitatu afu hata hajawa top scorer wa ligi afu mnatambaaaa,,,mmepotea kwa kweli.
  18. E

    Seleman Matola Kuwa Tena Sehemu Ya Benchi La Ufundi La Simba Ni Kwamba Timu Ipo Palepale

    Wangemleta Mgosi au Bocco tu huku, afu Matola aende kwa vijana au SQ, au aende kutafuta changamoto sehemu nyingine. Kwa hali hii hata yeye mwenyewe hawezi kupata promotion yeyote.